Nikiwa mama kijacho hapo ni issue nyingine..itategemea dogo amekaaje huko tumboni...
Ila jinsi nilivyo ni kwamba sijui kununa...labda niigize but siwezi hata mtu anikere kiasi gani....sana sana nitamwambia ukweli.
hah!!,kumbe na wewe uko kwenye ndoa?!!ila huwa inaboa kwa kweli
.na wewe hununi?
..nimeipensa hiyo..
hivi kununa na kukasirika vinaenda pamoja, au mtu anaweza kununa ilhali hajakasirika??
hah!!,kumbe na wewe uko kwenye ndoa?!!
Sijuagi kununa mimi teh teh
Me naamini kununa ni matokeo ya kukasirika...inawezekana hasira zishaisha basi tu mtu unanuna ili kufikisha ujumbe kwa aliyekuudhi.
na wewe pia umeolewa?Sijuagi kununa mimi teh teh
tofauti kati ya kununa na kukasirika ni nini?
na wewe pia umeolewa?
mmmh....sidhani!!
ooh..ila jana umesema wewe ni student,tena under 18.Yes....
..naomba physical address yako, nina parcel nimetumwa kwako asap!!..teh!!
si unasemaga unatafutaga wakuchuna wewe?,au huwa mnachangamsha genge?.kwani sifananiii?
ooh..ila jana umesema wewe ni student,tena under 18.
...hayo maneno ymeyatamka kabla ya kuolewa, tukutane hapa baada ya miaka miwili ukiitwa 'mama kijacho', it's gonna be a different story rafiki..