ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,719
- 127,655
Kumbe wewe ushaoa??? Huea yapo hayo ndani ua ndoa?
less than a month nitauaga ubachela rasmi wangu..! Ninapata maujuzi hapa!!
Kumbe wewe ushaoa??? Huea yapo hayo ndani ua ndoa?
We Tomaso eeh?
less than a month nitauaga ubachela rasmi wangu..! Ninapata maujuzi hapa!!
Kununa sometimes hakuepukiki, hivi mtu anaangalia World Cup baa mpaka saa kumi na mbili asubuhi! ...Mi lazima ntanuna..
Ayaaa...ndo nmeshachelewa duuh
si unasemaga unatafutaga wakuchuna wewe?,au huwa mnachangamsha genge?.
Ndo maana nishakataa kutongoza watu wa mtandaoni,tangia nitongoze aviantie binti wa kifilipino na tukadumu katika mapenzi ya mtandaoni kwa karibu mwaka mzima na hatimae kuja kugundua kumbe laaziz wangu wa kifilipino jina lake halisi ni kamau njoroge,mpaka leo sinaga hamu kabisaaa.
Hahahaaa! ukifika hapo mtaa wa pili kata kushoto, kuna kichochoro hapo...nyoosha nacho, hesabu nyumba ya kwanza, ya pili...weka tu huo mzigo hapo chini ntaupata.
..mie Yuda..teh!!
Si uliniringia siku zile weye!!!
kichakani nitakuja one day,saa hizi bado nakufanyia tathimini kwanza to see what really makes you tick.mkuuu acha kuchokonoa ya ndani mkuu tuliaaga bwana.kwa more info nione.vichakani
kichakani nitakuja one day,saa hizi bado nakufanyia tathimini kwanza to see what really makes you tick.
Aisee sikujua itakuja kunikosti kiasi hiki hakyamama....
hakyanani tena!!!
...lakini kwa ajili yako tuwe na kamchepuko ketu basii..