andika kwenye notebook yako coz hii inatolea sana kwa wanandoa, I bet utaolewa ndani ya miaka miwili, teh!!
Wanakera kwakweli mwisho wa siku unajikuta na wewe umeambukizwa maana kama ni jumamosi mnashinda home mtu kajinunisha weee! mwisho wa siku na wewe unajikuta umenunaYani nawachukia watu wanaopenda kununa nuna
hahaha hata nikiolewa sijui kununa mie namtu akininunia wala siwazi namweka kitako dk mbili nyingi anieleze kiunagaubaga lol
...sijawahi kutana na mwanamke asiyenuna..
hapo anakua anajikomesha mwenyewe.........
ukute alomnunia sasa ndio hana hata mpango
akiwa ofisini anacheka, anaimba na hata ku-share sahani na office mate, akianza tu kurudi home ananuna
shtukaaaa... you are the reason for his/her sadness
jipange, ongea we kasa wa, au jikate
umeolewa??
Unanyemelea vitasa for sure.....
hahaha hata nikiolewa sijui kununa mie namtu akininunia wala siwazi namweka kitako dk mbili nyingi anieleze kiunagaubaga lol
Bado...!
Nimekupenda bure
...hayo maneno ymeyatamka kabla ya kuolewa, tukutane hapa baada ya miaka miwili ukiitwa 'mama kijacho', it's gonna be a different story rafiki..