kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
- Thread starter
- #81
Bichwa lakoSasa kama mmetafuta wote ila unazimalizia kwa michepuko akuache ili iweje !? .mkiacha ubinafsi mtakuwa salama.
Bichwa lakoSasa kama mmetafuta wote ila unazimalizia kwa michepuko akuache ili iweje !? .mkiacha ubinafsi mtakuwa salama.
Kweli wewe kinyamkela.Bichwa lako
Mkuu hunielewi kabisa. Hilo la mfumo wa kulinda mali nalo si lazima mlindaji awe mke tu. Kwani haiwezekani mke nikamuachia mali na akatapanya na hawara zake then wazazi wangu na wanangu wakaambulia mabaki mabaki? Mifano ipo mingi ya wanawake wa namna hiyo.Sasa utaweka mfumo gani kulinda mali zako ukikata moto kabla ya mkeo au wanao kukua?
Utakua mbinafsi mkuu ni bora basi usioe
Wewe unatafuta pesa kwa ajili ya nani??Mkuu hunielewi kabisa. Hilo la mfumo wa kulinda mali nalo si lazima mlindaji awe mke tu. Kwani haiwezekani mke nikamuachia mali na akatapanya na hawara zake then wazazi wangu na wanangu wakaambulia mabaki mabaki? Mifano ipo mingi ya wanawake wa namna hiyo.
Utatajirikaje pamoja na mkeo?Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.
Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.
Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.
Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?
Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.
Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.
Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.
Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?
Bado mtotoWewe unatafuta pesa kwa ajili ya nani??
Kama ni familia basi na mkeo yupo ndani, na yeye ndie mwandani wako kuliko hata mama yako.
Ukimficha yeye wanao wataishije, ndo maana nikauliza mfumo gani huo,?
And so is your wife. She isn’t as much as you believe yourself not to be.Am not a killer
It goes both waysIpo KWA wote hii,ukifilisika hakuna rangi hautoacha kuona
Una ushahidi wowote kuhusu hili uliloandika?Kuua ndo hatar ila huko uchagani kawaida sana mtu anaua mpaka mama ake ili arithi ..Hiyo jamii achana nayo
Kwa vyovyote vile, ni muhimu kumshirikisha mkeo kwenye mali zako ina zingatia, SI ZOTE.! Hizo zinazobaki ikitokea mume kafa ni bora zisimamiwe na ndugu kama kaka n.k ambaye unamuamini kuwa atazitumia/kuzigawanya kwa wanao achilia mbali zile mali ambazo utaziacha chini ya mama yaoWewe unatafuta pesa kwa ajili ya nani??
Kama ni familia basi na mkeo yupo ndani, na yeye ndie mwandani wako kuliko hata mama yako.
Ukimficha yeye wanao wataishije, ndo maana nikauliza mfumo gani huo,?
Hayo ndiyo maneno sasa.! Kwa kweli matajiri halisi hawakai kizembe zembe siyo?!Utatajirikaje pamoja na mkeo?
Usiwe zawazwa wewe.
Wanaume makini hawamiliki cheti cha ndoa na pia mipango yao mingi wake zao hawajui.
Wengine wanafikiria kuwa ukificha mambo basi familia itapata shida ukifa.
Kipi bora familia ipate shida kidogo ukifa ama uuawe na familia hili waishi kwa raha?
I don't think soAnd so is your wife. She isn’t as much as you believe yourself not to be.
Kweli Kabisa Hujakosea mkuu!Hufai kuolewa wala kuwa mchumba. Una limdomo likubwa yaani lopo lopo. Kichwani kuna mavi
Wewe utafurahi ukitangazwa matako yako yana ukurutu au mapele, au una ndala au unanuka k au una bonge la kovu kwenye k, au k yako ipo kama nyama iliyofinywa finywa na ina kinyaa, au unanuka k, au ukifika kileleni unakunya?!!!Kweli Kabisa Hujakosea mkuu!
Wewe utafurahi ukitangazwa matako yako yana ukurutu au mapele, au una ndala au unanuka k au una bonge la kovu kwenye k, au k yako ipo kama nyama iliyofinywa finywa na ina kinyaa, au unanuka k, au ukifika kileleni unakunya?!!!
Sorry for interactionAcha kudandia gari kwambele mkuu unajua huyo nilomquote na kumtag tunafahamianaje Lakini????
Okay Okay okay!! Nimekupata mkuu uwe na mchana mwema[emoji112][emoji112][emoji112]!