Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.
Umekuja na hitimisho kuwa pindi familia ikipata utajiri basi mwanamke ndiyo anabadilika na labda kuishia kumuua mume wake.

Kwa uhakika mifano iko mingi sana ya mwanamme kubadilika na kuanza kumuona mwanamke ni mshamba, hawezi kutoka naye out wala kumuonyesha rafiki zake wapya. Kwa waislamu ndiyo hapo ataongeza wa pili, tatu na nne.
 
Enheee
 
Sawa biti mkongwe, ila mwanaume hata akibadilika ni ngumu kufikia hatua ya kuua mke ili abaki na mali. Hii ni tofauti kwa mwanamke!
 
Unajua unachozungumza? data zako umetolea wap?

Pombe sio chakula [emoji1787]
Data nimezitoa kutokana na mikasa ya matukio mengi ya waume kuuawa na wake zao hasa mara baada ya kufanikiwa kimaisha. Umeelewa? Usipoelewa na hapo sina la nyongeza. Siku njema!.
 
Kisa cha Mugabe na Mwai Kibaki hujaeleza vinahusiana vipi na mada hii. Je, nao wanaweza kuwa waliuawa na wake zao?
Hapana nilitoa Mifano tu kuonyesha Jinsi maendeleo yanavyowabadili wanawake na kuwa watu wabaya . Wale Marais wake zao walipoona mafanikio waliokuja kuwa na fujo na maugomvi ya mara Kwa mara Kwa Kila MTU. Busara na kujifanya wajinga Kwa wale waheshimiwa Ndio uliweka zile ndoa . Lakini wale Marais wangekuwa wakorofi wangekuwa wanabadili wanawake kama nguo mana mafanikio yaliwabadili sana wake zao. Na Hata Vifo vilipowakuta vilikua ni Faraja Kwa wake zao kubaki na mali bila bughudha Wala fujo .
 
Kama hawakuuawa na wake zao haina shida!.
 
Sasa mwanamke gani mwenye akili anafurahia mume kufa na kumuachia mali katika hali ya ubibi? Atazifaidi vipi sasa ilhali kashakongoroka na uzee umepiga hodi? Kama ni kuwaua waume zao si bora wawaue ili wabaki wakitumia mali wakiwa mabinti?
 
Back
Top Bottom