Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Wewe utafurahi ukitangazwa matako yako yana ukurutu au mapele, au una ndala au unanuka k au una bonge la kovu kwenye k, au k yako ipo kama nyama iliyofinywa finywa na ina kinyaa, au unanuka k, au ukifika kileleni unakunya?!!!
Kufika lileleni na kunyaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zanguuu mieeeeeee!!

Relaxx and Enjoy your weekend mkuuu
✌️✌️✌️✌️✌️
Haya Noted na asante kwa kunifanya nicheke mchana huu✌️✌️✌️☺️☺️☺️!!
 
Kwa vyovyote vile, ni muhimu kumshirikisha mkeo kwenye mali zako ina zingatia, SI ZOTE.! Hizo zinazobaki ikitokea mume kafa ni bora zisimamiwe na ndugu kama kaka n.k ambaye unamuamini kuwa atazitumia/kuzigawanya kwa wanao achilia mbali zile mali ambazo utaziacha chini ya mama yao
Mkuu baxo inakua haina maana ya kumuoa mwanamke halafu baadhi ya mali zksimamiwe na wengine(ndugu zako).
Wenye busara humfanya mke kua msimamizi mkuu wa mali zote yaani kama muangalizi tu. Hizo ambazo unaona haziwezi unampa mtu mwingine ambae pia mkeo anakua muangalizi tu (hana mamlaka ya kuuza/kuchukua)
 
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.

Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.

Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.

Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?

Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.

Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.

Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.

Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?
Mawazo ya kijinga
 
Upo sahihi ukianza kupata pesa chunga Sana kaka wa mke wako ndio hawo wataparangana kukuhesabia siku imetokea juzi jirani tu hapa Sema mwamba amenusurika kifo....saiv a naishi kwa mashaka.
 
Una ushahidi wowote kuhusu hili uliloandika?

Asilimia 10000000000
Screenshot_20230318-134024.png
 
Je kuna tofauti kati ya 'kupiga' na 'kuua'?
Ipo wazi kabisa unakumbuka yule dogo wa kike aliyeachiwa juzi kati baada ya kumuua mama ake ili Mali ale na boyfriend wake.

Zunguka huko migombani kaone wajane wamebaki na nyumba tu.

Usiwe unatatea hapa naongelea ukweli na hakuna asiyejua maana hata points za kujitetea huna.
 
Una commit logical fallacy kwa kuwa hauna reasoning.

Unafanya hasty generalization na circular reasoning. Hasty generalization kwa maana kuwa kwakuwa kuna mchagga alimuua mumewe basi unaamini wachagga wote wanaua wanaume wao.

Circular reasoning kwakuwa you are begging the question. Petitio principii.

Kuna mahali pasipokuwa na wajane? Je ni wachagga tu wanaouana?
 
Hakuna mtu asiyejua hata utetezi wako hauna nguvu hiyo ni hulka yenu hamna utu mbele ya pesa.

The truth must be spoken haijalishi huo ndo ukweli hata umuulize mtoto mdogo anajua kwa vile sasa mmechanganyika na jamii nyingi na wengi mmezaliwa nje ya huko basi mmebadilik ila hyo ndo hulka yenu.
 
Tutaongea mengi lakini kinachosumbusa ni hali ya kutokujiamini kwa wanawake wengi "insecurities"

Unajua mwanaume ukishakuwa na pesa mafanikio inakuwa ni vyepesi sana kuvutia wanawake wengi wa nje, kiasi kwamba mke wako wa ndoa anakuwa na wasiwasi na nafasi yake kwakua walioko nje ni wengi kuliko yeye mmoja.

Inafikia hatua hata ukimkosea anahisi ni makusudi kwakua una kiburi cha pesa kumbe pengine ni ubinadamu wa kawaida kukosea, kukuonya anashindwa kwakuhofia kuwa utamuacha na unaweza pata mwingine kirahisi tu, kwahiyo anakaa na vinyongo moyoni na kuugulia.

Hapo sasa njia pekee ya kujihakikishia future ni kukuua tu ili amiliki pesa, maana kukuacha anajua haitakuwa pigo kwako badala yake atajitesa mweyewe.

NB: SULUHISHO ni kupata mwanamke anaejiamini juu yako asiyekuwa na wasiwasi wa kuachwa kila muda kwenye akili yake, au kama una utajiri kabla haujaoa hakikisha hauoi mwanamke mwenye hali ya chini sana kiuchumi (anaeona kuoelewa na mwenye pesa ni bahati)

Tajiri oa tajiri au mwenye kipato cha kati.

Nyinyi mkiona matajiri wanakataza watoto wao kuengage na malofa mnadhani ni wabaguzi, kumbe dunia ndivyo jinsi inatakiwa kuwa ili mambo yakae sawa na wao walishaliona hilo kitambo.
 
Hakuna mtu asiyejua hata utetezi wako hauna nguvu hiyo ni hulka yenu hamna utu mbele ya pesa.

The truth must be spoken haijalishi huo ndo ukweli hata umuulize mtoto mdogo anajua kwa vile sasa mmechanganyika na jamii nyingi na wengi mmezaliwa nje ya huko basi mmebadilik ila hyo ndo hulka yenu.
"Hakuna asiejua"
"Hata mtoto mdogo anajua"

Still hauna reasoning, you are commiting lots of logical fallacies for jumping into the bandwagon.

Ukiambiwa prove unayosema huwezi unaishia kusema tu "hakuna asiejua" "hata mtoto mdogo anajua".

Inaonyesha kabisa hapa na deal na mtu mdhaifu wa hoja.

I rest my case here.
 
Nimekupa taarifa ile kweny habari..mbili yule aliyeua mama ake na hao wanaume kupigwa.

Where is your reasoning facts to prove me wrong?

Tabia inajenga mazoea kesi kama hizo kwenu ni kawaida maana ni hulka basi tushawazoea ,akifanya jamii nyingine ndo maajabu.
 
Back
Top Bottom