Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Ukiwa tajiri Acha tamaa ya kuongeza mke au dharau kwa mliekuwa nyote masikini, utaishi salama nje ya hapo utaondolewa na ugonjwa wa sumu kwenye in
Niache dharau kwa mke au kwa tuliyekuwa wote masikini? Iweke vizuri hii ya tuliokuwa wote masikini (ni ndugu, marafiki au??)

Na nani ataniwekea hiyo sumu?! Mke au rafiki?
 
Kwa mke,hili kosa ufanya wanaume wengi wapumbavu uliyeanxa nae zeeka nae,baki njia kuu kama uliruka stage kuwa mpole, maisha sio ngono
Nimekuelewa. Sasa unafikiri wote wanaouawa walitaka kuwaacha wake zao waliotafuta nao? Kwani kuwa na mchepuko inamaanisha unamuacha mkeo? Trump mbona ana michepuko mingi na anadunda mpaka uzee akiwa hai? Achilia matajiri wengine kama JK(Msoga) na Makamba?
 
Kuuwa inatokea tu,na hata ukiogopa kuuwa waweza kufa KWA aina nyingine.
Usiogope kifo,kifo ni ibada,kifo ni agizo
 
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.

Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.

Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.

Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?

Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.

Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.

Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.

Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?
Rejea MKE Wa Mugabe, MKE Wa Mwai Kibaki n.k.

Ukitajirika mara nyingi wanawake wanakua na Roho mbaya hawapendi waone unatoa kusaidia watu asiowapenda hasa wanawake wenzake Hata kama ni mama Yako au dada Yako . Hapendi uwainue wengine ZAIDI ya ndugu zake Tena Wa kiume tu na Sio Wa Kike.

Sasa mziki unakuja kitandani mana Mwanaume AKIWA na michongo mingi hakai sana Nyumbani au kulala mara nyingi Nyumbani. Safari zinakua nyingi. Marafiki wanakua wengi n.k. Madili yanakua Mengi Mwanaume anakua akiwaza michongo yake isivurugike mara nyingine anakua bize . Kitandani paformance unashuka, wakati huo Mwanamke anakula vizuri ,anashiba na kuipata muda Mwingi Wa kupumzika ,Mwili unabaki na hitaji moja tu la ngono basi. Hapo visa vitaanza . Ataanza kumsingizia mumewe KUWA Ana MICHEPUKO na Kila aina ya fujo. Hapo Ndio Mwanaume anaonekana Hana Maana ZAIDI ya kuachana na kugawana Mali Ili apate nafasi ya kula Bata na vibenteni .

Kila jambo Jema au baya bila kumtanguliza MUNGU linakua ni mtihani.
 
Ndio maana warabu wanaona ndugu aisee na utajiri unaendelea ndani ya familia , tofauti na sisi ngozi nyeusi aisee , tunaokotana barabarani mwisho wa siku ukiwa na vipesa kidogo tu kifo kinakunyemelea
 
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.

Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.

Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.

Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?

Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.

Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.

Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.

Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?
Umeshindwa mapambano wewe, sasa unatafuta comfort zone. One man down
 
Kwanini abadilke???
Kama humuamini kwanini unamuoa/mnafunga ndoa?
 
Rejea MKE Wa Mugabe, MKE Wa Mwai Kibaki n.k.

Ukitajirika mara nyingi wanawake wanakua na Roho mbaya hawapendi waone unatoa kusaidia watu asiowapenda hasa wanawake wenzake Hata kama ni mama Yako au dada Yako . Hapendi uwainue wengine ZAIDI ya ndugu zake Tena Wa kiume tu na Sio Wa Kike.

Sasa mziki unakuja kitandani mana Mwanaume AKIWA na michongo mingi hakai sana Nyumbani au kulala mara nyingi Nyumbani. Safari zinakua nyingi. Marafiki wanakua wengi n.k. Madili yanakua Mengi Mwanaume anakua akiwaza michongo yake isivurugike mara nyingine anakua bize . Kitandani paformance unashuka, wakati huo Mwanamke anakula vizuri ,anashiba na kuipata muda Mwingi Wa kupumzika ,Mwili unabaki na hitaji moja tu la ngono basi. Hapo visa vitaanza . Ataanza kumsingizia mumewe KUWA Ana MICHEPUKO na Kila aina ya fujo. Hapo Ndio Mwanaume anaonekana Hana Maana ZAIDI ya kuachana na kugawana Mali Ili apate nafasi ya kula Bata na vibenteni .

Kila jambo Jema au baya bila kumtanguliza MUNGU linakua ni mtihani.
Kisa cha Mugabe na Mwai Kibaki hujaeleza vinahusiana vipi na mada hii. Je, nao wanaweza kuwa waliuawa na wake zao?
 
Back
Top Bottom