kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.
Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.
Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.
Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?
Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.
Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.
Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.
Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?