Una ubavu wa kukataa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una ubavu wa kukataa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Eeka Mangi, Mar 3, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Baba yako anakuja nyumbani anawaita watoto wake wote anawaambia mnamfahamu yule fulani wa pale nanilii! Eeeh yule mrefu mweusi hivi eeeeeeenh huyo. YULE NDO KAKA YENU MKUBWA! Kwa hiyo soon atakuja kuishi nasi hapa! Wewe kama wewe una ubavu wa kumkatalia baba yako?
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huna kwakua hujui kitu,
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Unataka kutambulisha kidume nyumbani kwako nini? Mangi bana!
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Na wewe unamwambia unamujua yule fundi cherehani wa zamani sana pale kwenye kona? unamwambia ndio baba yangu mzazi sema niliona nisikwambie tu.
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo unakataa nini? si unapewa taarifa tu?
  Mtoto ni wake, nyumba atakuja kuhishi ni yake
  Kama humpendi huyo kaka basi tafuta kwako.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Triple LiKe

   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  itakuwa hakuna jinsi ni kukubali maana kama mtoto ni wake so lazima umuite kaka tu.
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  We kila siku stori zako zote za watoto wa nje!!.
  MP.
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ubavu cna na wala siutaki...
  hilo segere atalicheza bi mama...
  na kaumri kangu haka...hata akazoe kijiji chote aseme hawa ni wanangu wa nje...cna habari...
  ilimradi ratiba hom isibadilike aise!
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  na nyagi umesahau
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahaha! Hapa lazima aue asee!
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ukatae nini sasa? Ndo vizuri kujuana kwanza, kwanini mwenzenu akae pembeni ilhali baba yake yupo na ndugu zake mpo??
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na sminoff.
  MP.
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watoto wa nje wakoje? Imekukera nini mkuu ama na wewe unao wa nje kibao! Pole!
   
Loading...