jamani hili tangazo mi silipendi sana hasa kipindi hiki ambacho nataka wakwe wakanitambue! jamaa kajitahidi ana vx, nyumba kali, kazi ndefu na demu wake atakuwa mkali vilevile ila tatizo hana tembo card master card!nikiskia huwa nachoka sana hivi mambo ndo yalivo huko ukweni? wazoefu tujuze