Una tembo card master card???????

Haya ni mafumbo au ni nahau.
Sijaelewa, nani anajitolea kunielewesha?
 
chukua majib, nyumba ipo gongo la mboto,nafanya kazi stendi ya mkoa,gari nnayo lakini inakula vichwa mpiji, hapo watakukubali, kuhusu kadi waambie unayo ya gari!

MWENYE MAPENZI YA KWELI HAONI, INGAWA MACHO ANAYO ! usihofu, HURIDHIKA KUWA NACHO JAPO HAKINA THAMANI !~!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom