Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

Million 10 ya leo si sawa na Million 10 ya mwaka 2030.

Nauli za daladala zitakuwa 2500 au zaidi
Unaongea mkopo..ungesema mortgage ukaona kwanza...mortgage unalipa mara 2 YA hela uliyocbukua Na watu bado Wana hukua

Yaani udundulizi kuweka milion 18 Kwa mipaka mi5 ..hivi unajua maana YA Shida mkuu..just imagine umeweka Akiba hiyo..Kisha mtoto wako akaugua saana hapo ni mwaka Wa 3 wa saving..una milion 7 ..Na mtoto matibabu yanahitaji atalist 6 milion Je utaacha mtoto afe au utaendelea kusave bila kuchukua mtoto
 
Yah hela ya pamoja ina thamani kuliko hela ya mafungu
 
Hoja yako ni kukopa ama UTT?

UTT umeijua leo ama?

Ni mtu asieelewa vyanzo vya uwezkezaji tu anaeweza kupeleka hela zake UTT.

UTT return yake haizidi 5% kwa mwaka sasa hiyo laki 3 na upate 3.6 kwa ambazo jumla na return haitazidi 3.8, hii sio akili.

Weka fixed deposit ya bank ambayo wanatoa kuanzia 9% to 11% ambazo ndio bank nyingi wanatoa sasa.

Tukirudi kwenye kukopa, kuna kitu kinaitwa opportunity cost, uangalie, uchukue leo mkopo ufanyie jambo lako ama usubiri ukusanye kidogo kidogo kwa miaka 3 ama 5 ndio ufanye hilo jambo.

Mwisho inabaki kwenye maamuzi ya mtu kutokana na kipaumbele chake.

Point kubwa sana hii
 
Unaongea mkopo..ungesema mortgage ukaona kwanza...mortgage unalipa mara 2 YA hela uliyocbukua Na watu bado Wana hukua

Yaani udundulizi kuweka milion 18 Kwa mipaka mi5 ..hivi unajua maana YA Shida mkuu..just imagine umeweka Akiba hiyo..Kisha mtoto wako akaugua saana hapo ni mwaka Wa 3 wa saving..una milion 7 ..Na mtoto matibabu yanahitaji atalist 6 milion Je utaacha mtoto afe au utaendelea kusave bila kuchukua mtoto
Mkuu kwahiyo ukikopa na ukawa ile hela imeshatumika na sasa mshahara ni laki 4+ ndio utaweza kumhudumia huyo mtoto?

Wekeza pesa huko UTT kama ni muajiriwa bila kuwa na mpango wa kuigusa hata itokee nini. Hiyo hela unaihesabu kama haipo vile.
 
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.

Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini.

Unachangia mabenki asilimia 16 kwa mwaka ambayo ni asilimia 80 ya pesa yako unayoipata kwa shida katika miaka mitano. Benki zinanufaika kwa ujinga wa watu wengi.

Kwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.
Time value of money, wanahitaji pesa SASA HIVI, sio miaka mitano ijayo.

Hata kwenye biashara Hakuna Tajiri aliyetoboa kwa kusave (kudunduliza).

Tatizo ni kukopa kisha kuiwekeza kwa kitu ambacho hakikuingizii faida, mfano unakopa unanunua gari. Miaka mitano ijayo gari yako haitafika 😀😀
 
Mkuu mtu yeyote asiyeweza ku save na kukuza hela kwa kudunduliza hata akipewa milioni 100 atazipoteza tu. Hakuna tajiri anayedumu asiyejua kuishi maisha ya kujibana.
 
We fala, nina 30m UTT mwaka wa 4 huu, ambayo napata kama 467,000 kwa mwezi, is pretty much useless, kama ningeizungusha hiyo hela kwa Boda boda ningepata zaidi.
Wewe kwanza ni muongo, mimi nina 40m+ liquid fund na ninapata around 370k kwa mwezi, haiwezekani wewe na 30m upate 467k.

UTT ni uwekezaji, ukiona haufai nenda kafanye biashara.
 
Wewe kwanza ni muongo, mimi nina 40m+ liquid fund na ninapata around 370k kwa mwezi, haiwezekani wewe na 30m upate 467k.

UTT ni uwekezaji, ukiona haufai nenda kafanye biashara.

Okay, wala sina sababu ya kujibishana na wewe, na wala hatushindani, we endelea kuweka 40m upate 370k. Ni kweli mimi nasema uongo, Nyie waajiriwa ni mafala kabisa.

We fala:

- Unajua terms zangu ni zipi? Au mimi na wewe tulifanya utaratibu pamoja, tukajaza pamoja? Miaka pamoja na kila kitu? Akili huna, unakurupuka tu.

Mimi I have an online access naweza hata kukuwekea hapa ukaona trend na kila kitu online, ukaumbuka, ujuaji mwingi usiokusaidia.
 
Back
Top Bottom