Tatizo watoto wazuri wa 2000 wanataka watu wazima maana nyie watoto wenzao hamjui mapenzi +hamna maokoto!acheni wivu!..na tunavila kweliUkiona unaamkiwa shikamoo na mabinti jua unaenda club kufedheheka, au ukiona unaanza kuitwa mjomba badala ya bro, jua umeaga mashindano
Nimetokea kukupenda, siwezi kuishi bila wewe, nakuhitaji😭Me sioni shida maana kila mtu na maisha yake. Wewe ambaye huendi club huenda una vitu vyako unafanya ni vya hovyo kuliko hao waenda club ila wewe unajionea sawa. Muhimu ni kuwa busy na yanayotuhusu ya wengine tuachane nayo.
Ndio uwe unawashikia bango kama ulivyoshikia hapa au nyuzi za kutukana KE humu huwa huzioni, na kwa hoja yako wewe maana yake hata Serikali zote duniani, ziache kuzuia madawa ya kulevya sababu watumiaji wanayapenda wenyewe au siyoOnly weak man abuse women
Unapaniki sana anyway nitaanza kufanya hivyo!ila huwa nawatetea mara kadhaa Hawa rafiki na ndugu zetu.Ndio uwe unawashikia bango kama ulivyoshikia hapa au nyuzi za kutukana wanawake humu huwa huzioni, na kwa hoja yako wewe maana yake hata serikali zote duniani, ziache kuzuia madawa ya kulevya sababu watumiaji wanayapenda wenyewe au siyo
Madawa ya kulevya unayafananisha na mtu kwenda zake sehem ya starehe na kujipumzisha!?Ndio uwe unawashikia bango kama ulivyoshikia hapa au nyuzi za kutukana KE humu huwa huzioni, na kwa hoja yako wewe maana yake hata Serikali zote duniani, ziache kuzuia madawa ya kulevya sababu watumiaji wanayapenda wenyewe au siyo
Sasa hapo panic iko wapi, si kwamba nakulazimisha kufanya hivyo, ila najaribu kuonesha tu jinsi binadamu tulivyo wanafikiUnapaniki sana anyway nitaanza kufanya hivyo!ila huwa nawatetea mara kadhaa Hawa rafiki na ndugu zetu.
Dooh kumbe wewe ulikuwa unashindana mimi nikadhani tulikuwa tunajadiliana, sasa how comes kukataza pombe na starehe nyingine unakuwa umeingilia affairs za watu ila kukataza madawa ya kulevya unakuwa hujaingilia ndio huo unafiki niliousema hapo juu, wewe unadhani pombe na hizo starehe nyinginezo ndio hazina madhara kwa watu au napo utasema hata wakipata madhara ni wao hivyo sisi hayatuhusu siyoMadawa ya kulevya unayafananisha na mtu kwenda zake sehem ya starehe na kujipumzisha!?
Kuwa serious Jadda sio Kila mada utashinda bhana hapa kubali umeingilia affair za watu
we jamaa, unatafuta laana ya wazee wa 30Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mmwenzan
DogoWasipoenda, madanga ya kuwafunua marinda mtatoa wapi?
Dogo underage kama ulichukuliwa demu tulia huna hela subiri ukifika 30plusUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Hahaha I'm 35 huwa nikiwa club sielewi kabisaaa naona madogo wa siku hizi wanavaa ma t-shirt marefu meupe ili wawake sijui, ndio shida ya huku vijijini ila town unakunywa vinywaji vyako hotels, pubs na pisi unadaka you feel comfortable.lakini kama kuna kaukweli hivi umri huu wa 30+ umefika saivi nikiwa club naona aibu kubanjuka
Ni ushamba wa vijana mkuu, majuu huko watu wanatoka ofisini na suits wanaacha makoti lounge wanapata vinywaji wakiwa mkanda nje na kudance, huku wapori pori wanavaa masneaker meupe na matshirt meupe ili mataa ya club yareflect mwanga ule awe anang'aa kama taa, pisi nazo zinapaka rangi za kucha rangi flani showy! Hahaha age is a blessingNakumbuka nilienda clubs za Dsm nimechomekea .
Watoto hawana adabu wale kwa kunishangaa sana ...😅
Nani huwa anawaambia miaka 30 ni mtu mzima?Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Naaaaaam!Ni ushamba wa vijana mkuu, majuu huko watu wanatoka ofisini na suits wanaacha makoti lounge wanapata vinywaji wakiwa mkanda nje na kudance, huku wapori pori wanavaa masneaker meupe na matshirt meupe ili mataa ya club yareflect mwanga ule awe anang'aa kama taa, pisi nazo zinapaka rangi za kucha rangi flani showy! Hahaha age is a blessing
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Na wew upo dodoma ndugu ?Pestana dodoma ili fail na kufa kifo cha mende sababu ya wanachuo kujazana, Under 30 wanapata wapi pesa za kuspend?
Au unadhani night club wanatoa msaada wa kuwapigia music mcheze na kubambiana bure!