Una miaka 30 hujaolewa? na bado, utaona moto

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Wanawake waliofika miaka 30 na kuendelea na hawajaolewa huwa wanahonga asikwambie mtu, lengo ni kumvutia mwanaume ili amuoe.

Kutokana na kupoteza matumaini ya kutokuolewa kwa muda mrefu ikitokea kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanaume kajitokeza na kaonyesha dalili za kumuoa basi mwanamke huyo atamuhonga mwanaume pesa mpaka basi.

Mara akununulie suti, mara mashati, mara soksi.... ni hatariiii aisee..... yani hata awe hana hela yupo radhi alale njaa ilimradi akufurahishe

Mwanamke aliyezidi miaka 30 na hajaolewa akimpata mwanaume mwenye uelekeo basi anaweza akawa hata anambeba njiani, hata umwambie nibebe kutoka ubungo mpaka kariakoo basi mwanamke huyo atakubeba.

Ringeni sana mlio kwenye miaka 18 mpaka early 20's....... UKIFIKA MIAKA 28/29/30 UTAJUTA, NA HIYO NDIO MPAKA UZEENI...
____________
____________
UPDATE: Maisha yenyewe ya kiafrika haya, mtu ukiishi sana unafika miaka 40 halafu leo uolewe na miaka 35 au 37. YAANI UNAKAA SIKU MBILI AU TATU KWENYE NDOA HALAFU UNAKUFA?????? NA UKISHAFIKA 30+ HUWEZI PATA MWANAUME ORIGINALI AU BRAND NEW, UTAISHIA KUPATA USED/GUBE GUBE LILILOSHINDWANA NA MKEWE.

By: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
absolutely . wimbe hilo kwa sasa ni kubwa, kinachowaponza akiwa na mtu wanaanza kuweka misimamo yao eti si ulinikuta na maisha yangu ukayakubali eti alikuwa mtu wa tungi, club kuvaa mavazi ya nusu uchi ,kurudi nyumbani ucku wa manane. eti kama ulimkuta hivyo uvumilie . ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayependa tabia hizo ni bora kubadilija uchukue majukumu na ujue mipaka hatima yake watu wa aina hiyo kazi yao ni kuwastarehesha wanaume. haswa wale wanaojiona wazuri . sister duu plz mbadilike maisha hayaendi hivyo.
 
Wanawake waliofika miaka 30 na kuendelea na hawajaolewa huwa wanahonga asikwambie mtu, lengo ni kumvutia mwanaume ili amuoe.

Kutokana na kupoteza matumaini ya kutokuolewa kwa muda mrefu ikitokea kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanaume kajitokeza na kaonyesha dalili za kumuoa basi mwanamke huyo atamuhonga mwanaume pesa mpaka basi.

Mara akununulie suti, mara mashati, mara soksi.... ni hatariiii aisee..... yani hata awe hana hela yupo radhi alale njaa ilimradi akufurahishe

Mwanamke aliyezidi miaka 30 na hajaolewa akimpata mwanaume mwenye uelekeo basi anaweza akawa hata anambeba njiani, hata umwambie nibebe kutoka ubungo mpaka kariakoo basi mwanamke huyo atakubeba.

Ringeni sana mlio kwenye miaka 18 mpaka early 20's....... UKIFIKA MIAKA 28/29/30 UTAJUTA, NA HIYO NDIO MPAKA UZEENI...

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Hivi ni lazima kuolewa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mwanamke 30 yrs ndo kuanza safar ya umama. Nawasih waringeee ila ukianza 27 changamka mama lasivo unazeek. Hii ni nature haipingiki.ila nature hii imependeleq wanaume kwan jibaba la 48 lawez oa bint 18
 
lara 1 wangu ana 40 mbona hanihongi? mtazamo wako ni wa kufikirika zaidi kuliko uhalisia.

kuna mademu wana miana 25 na ukiwaona kwisha habarh yao, na kuna mademu wana 40 lakini mashalaah wana neema za Allah.

Hakuna mwanamke anayetembea na kibao usoni cha kuonesha umri, wanaume tunaangalia mvuto wa demu. baasi.
 
Last edited by a moderator:
Ila mjue kwa dunia ya sasa career ndio inayowafanya wengi wasiolewe mapema, na wengine kuishia nearly 40 au kufika 40 no mume. Na wakiwa na pesa sasa basi uchaguzi unawajaa. Wengine family status inachangia kutoishia na asiye kama wao. Wengine ni bahati mbaya tu kuwa hawajapata wa kuwaoa ila wanakuwa wana kazi nzuri, biashara, pesa no mtu anayetaka kuwaoa.

Ndio maisha, mie naamini wakisali watawapata aliowapangia Mungu kama wanataka.
 
Nin madhumuni ya thread yako? Au ulishawah kuhongwa na wa age hyo? Au unafurahisha genge? Nadhan kiungwana hauko sahihi kwakuwa si wote walofka age hyo bila kuolewa wana tabia kama unavyodai. No research no right to speak.
 
Wanawake waliofika miaka 30 na kuendelea na hawajaolewa huwa wanahonga asikwambie mtu, lengo ni kumvutia mwanaume ili amuoe.

Kutokana na kupoteza matumaini ya kutokuolewa kwa muda mrefu ikitokea kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanaume kajitokeza na kaonyesha dalili za kumuoa basi mwanamke huyo atamuhonga mwanaume pesa mpaka basi.

Mara akununulie suti, mara mashati, mara soksi.... ni hatariiii aisee..... yani hata awe hana hela yupo radhi alale njaa ilimradi akufurahishe

Mwanamke aliyezidi miaka 30 na hajaolewa akimpata mwanaume mwenye uelekeo basi anaweza akawa hata anambeba njiani, hata umwambie nibebe kutoka ubungo mpaka kariakoo basi mwanamke huyo atakubeba.

Ringeni sana mlio kwenye miaka 18 mpaka early 20's....... UKIFIKA MIAKA 28/29/30 UTAJUTA, NA HIYO NDIO MPAKA UZEENI...

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

hahahahaaa,daaaaah!sasa kama mwanamke mwenyewe kapuku atahonga nini???
 
Last edited by a moderator:
Nin madhumuni ya thread yako? Au ulishawah kuhongwa na wa age hyo? Au unafurahisha genge? Nadhan kiungwana hauko sahihi kwakuwa si wote walofka age hyo bila kuolewa wana tabia kama unavyodai. No research no right to speak.

Kweli mkuu si wote.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
Back
Top Bottom