Una mechi kesho usiku?

Aaah huu ni utumwa. Mimi huwa sina maandalizi yoyote zaidi ya kununua kyondom tu
 
Labda kazi yangu iwe kuigiza movie za porn maana kwa harakati za utafutaji nilizo nazo mimi kupata hiyo series ya menu ni fatique
 
hatari sana
 
Hahaha hy ni bajet ya dushe tu loh ni noma
 
Kuna yule mtu anaelinda usalama msipigwe chabo au kufumaniwa je
 
Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani ukishindana na ulipotoka utashindwa tu.Unajikomoa kwani unachimba tanzanite?.We mpare juhudi zako kwa hilo ungezigeuzia kwenye kutafuta pesa "Avae" ungekuwa bilionea.Halafu hamna mpare anasema supu huwa mnasema thupu.
 
Wa mikoani tunakula kawaida tu na ikifika mida tunapiga mechi kama hatujawahi vile
 
Mtani ukishindana na ulipotoka utashindwa tu.Unajikomoa kwani unachimba tanzanite?.We mpare juhudi zako kwa hilo ungezigeuzia kwenye kutafuta pesa "Avae" ungekuwa bilionea.Halafu hamna mpare anasema supu huwa mnasema thupu.
Thawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…