Una mechi kesho usiku?

hayo maandalizi mbona yanazidi hata umuhimu wa mechi yenyewe...
 
Duuh kweli kiuchumi zaidi
 
ushindi utakaoupata kama ushindi wa yanga kesho
 
πŸ˜•kwan vita mkuu, kukomoanaπŸ˜•au kupata ndiy kwa manatiπŸ˜•
 
πŸ˜•kwan vita mkuu, kukomoanaπŸ˜•au kupata ndiy kwa manatiπŸ˜•

Kwani kuna silaha hapo? Sijui kwanini wengi wametafsiri ndivyo sivyo, mi nimezungumzia diet inayoleta better performance watu wanakimbilia kusema ni maandalizi ya kukomoana, nitatoa majumuisho mwishoni
 
Maji ya kunywa nje ya ratiba hapo.

Nina uhakika lazima uvimbilwe/uvimbiwe, tumbo litakuwa zito siku nzima
 
Kwani kuna silaha hapo? Sijui kwanini wengi wametafsiri ndivyo sivyo, mi nimezungumzia diet inayoleta better performance watu wanakimbilia kusema ni maandalizi ya kukomoana, nitatoa majumuisho mwishoni

Mkuu maandalizi ya chakula kabla ya mechi ni nidhamu ya kutokujiamini and kukamia..Mwanaume unatakiw uwe fit muda wowote na daily diet kwa afya kama uwezo unaruhusu
 
hahaha...duuuuu!
 
Mkuu maandalizi ya chakula kabla ya mechi ni nidhamu ya kutokujiamini and kukamia..Mwanaume unatakiw uwe fit muda wowote na daily diet kwa afya kama uwezo unaruhusu

Chakula sahihi ni muhimu sana kwa best performance, kujiamini ni kitu kingine kabisa lakini vinashirikiana, hutakiwi kukidharau kimoja, itakula kwako TAKE IT FROM ME...!!! We need calories bro
 
Hahaha du Mkuu hivyo lazma uumwe kwanza hats mtanange hutauweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…