mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
Wivu upi mzee? Mwishowe mfie vifuani sasa. Tuachieni vijana rika letuPunguza wivu
Wivu upi mzee? Mwishowe mfie vifuani sasa. Tuachieni vijana rika letuPunguza wivu
Wivu upi mzee? Mwishowe mfie vifuani sasa. Tuachieni vijana rika letu
Hahahah mkuu so wewe unaona ufahari kufia kifuani kwa mkeo?!Askari lazima afie vitani
ukiwa na mtu muite mahali ukiwa serious muulize una mpango gani namimi? Akisita kujibu piga chini, ndo fomula natumia hadi leoHakuna Swali napata shida kulijibu kama hili.
Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini.
Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa kumwambia kitu ambacho anapenda( ndoa).
Pongezi kwa wadada(mademu) ambao huwa hawaulizi swali hili. Huwa wanajiongeza wenyewe.
Niite na mimi basi.ukiwa na mtu muite mahali ukiwa serious muulize una mpango gani namimi? Akisita kujibu piga chini, ndo fomula natumia hadi leo
Njoo tu pm iko wazi njoo na mafaili yoteNiite na mimi basi.
Ooh, mafaili yapi tena?Njoo tu pm iko wazi njoo na mafaili yote
Hahahah asante studio 🤣🤣🤣 jiandae basi.Tatizo mko serious sana kuna muda na sisi hatutaki ndoa tunataka kuchezewa tu punguzeni uoga
One night stand au sioHahahah asante studio 🤣🤣🤣 jiandae basi.
Swali zuri sana hili..Ni swali zuri kimsingi lakini pia linakupa picha umekutana na sampuli ya aina gani ya mwanamke.
Mwanamke mjuaji atakuuliza hilo swali sababu kwenye akili yake ni tayari anawaza ni namna gani hajakuelewa na hajui unamipango gani ambayo kwake inafaida binafsi. Kwa kifupi anataka kujua yeye atafaidika vipi na huo uhusiano.
Sasa kwa mimi hilo swali lingejibiwa na swali. Nitamuuliza hapa tulipo hadi saa hii mimi ni mwanaume ambaye upo tayari kuachana na wazazi wako uje kwangu tuyajenge maisha, katika hali yoyote ya ugumu na mafanikio, magonjwa na afya, kwenye hofu na faraja, shibe na njaa, usiku na mchana, na kusimama katika misingi ya MUNGU?
Ajibu tu ndio au hapana then basi mjadala uishe. Sababu haimake sense mtu ambaye anakuamini anakukubali halafu akuulize swali kama hilo it means hajui yeye amesimama wapi na wewe.
Hell yeah 😎One night stand au sio
Seriously, unamwambia mdada wa watu, "Nataka kukuchezea".Ukiulizwa ni bora useme, hata kama unataka kumchezea ukiulizwa sema..
Mi nikimuuliza mwanaume hilo swali akishindwa kujibu basi safari inaishia hapo


, atakayekubali na aliyekubaliwa wote ni wendawazimu.Ukitumia hizo swaga za u-genuine utachezea vibuti sana mwanamke usipomdanganya kumpata ni ngumu sana, ni wanawake wachache sana utawapata kwa kutumia ukweliA genuine man would tell her right away, the genuine mans way.
Japo ndoa ndio ideal lakini sio kila mwanamke anaitaka! Kuwa real hata nguvu za kiume zitakuwa dhatiti maana wasiwasi na wiziwizi(kuuibia mwili wako) itakuwa hamna tena.
Kama mi namuambia tu nnachokitaka kweli. Kama hawezi kuuhandle ukweli basi hanifai iwe ni kwa muda au kwa kudumu damn it.
Huyo ni malaya ndo atakayekukubalia na sio mwanamke anayejiheshimuSeriously, unamwambia mdada wa watu, "Nataka kukuchezea"., atakayekubali na aliyekubaliwa wote ni wendawazimu.
Nahili ndio jibu sahihi, ninani aliekwambia kuwa ukijibiwa kuwa nataka ndoa basi lazima mwisho wa siku lazima itokee ndoa. Au ukiambiwa urafiki basi mwisho wa siku mnaweza msioane, mnakuwa kama mnayaishi maisha ya hadithi za kufikirika kana kwamba matukio ya maisha unayapanga weweWanaume wengi wasiojitambua hua wanajibu NDOA..
Binafsi ukiniuliza hivo lazima nikufokee seems lyk unataka kunishika sharubu au unanitishia kuachana....


. Msichana ambaye hajakuwa ndio atauliza hilo swali, laasivyo ambaye yupo desperate na ndoa kana kwamba kaumizwa huko mpaka sasa njia aliyobakiwa nayo kujikinga asiumizwe ni kuuliza hilo swali akidhani ndio hata chezewa.No si lazima useme nataka kukuchezea direct kuna lugha nyingi za kutumika mbonaSeriously, unamwambia mdada wa watu, "Nataka kukuchezea"., atakayekubali na aliyekubaliwa wote ni wendawazimu.
Sasa sisi wengine lugha hizo hatuzijui, ni direct answer bila kupindisha. Kuweka jibu gumu liwela sukari ni kipaji.No si lazima useme nataka kukuchezea direct kuna lugha nyingi za kutumika mbona
Kama ambavyo nyie mkiangalia mnasema huyu napiga ila kuoa hapana na sisi kuna watu tunasema i can date him ila kuolewa nae hapana
No si lazima useme nataka kukuchezea direct kuna lugha nyingi za kutumika mbona
Kama ambavyo nyie mkiangalia mnasema huyu napiga ila kuoa hapana na sisi kuna watu tunasema i can date him ila kuolewa nae hapana
Hao wadangaji ndo utawambia direct answer na watakua comfortableSasa sisi wengine lugha hizo hatuzijui, ni direct answer bila kupindisha. Kuweka jibu gumu liwela sukari ni kipaji.
😀😀😀😀😀poleeSasa sisi wengine lugha hizo hatuzijui, ni direct answer bila kupindisha. Kuweka jibu gumu liwela sukari ni kipaji.