Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,726
Kwanini nitongoze mdangaji, maana wengine kutongoza ni mara moja ndani ya miezi 6. Halafu you attract what you relieve.Hao wadangaji ndo utawambia direct answer na watakua comfortable
Kwanini nitongoze mdangaji, maana wengine kutongoza ni mara moja ndani ya miezi 6. Halafu you attract what you relieve.Hao wadangaji ndo utawambia direct answer na watakua comfortable
Asante sista😀😀😀😀😀polee
Cv zako za,maisha na za kimahusianoOoh, mafaili yapi tena?
Ndio afu demu mwenyew atapima kusuka au kunyoaKwahiyo ujibiwe lengo hapa ni kuchezeana Tu Hadi tutakapo chokana??
Jinsia yako tafadhaliNdio afu demu mwenyew atapima kusuka au kunyoa
DuuKuna jamaa yangu aliulizwa hili swali mnyantuzu mang'ombe mnomo. Akamwambia dem mm nipo tayari kukuoa. Jamaa akaambiwa ili nikupe mzigo basi njoo ujitambulishe. Wakapanga siku jamaa akaja kuazima pikipiki hime kwetu nakumbuka honda xtrail miaka ilee zilikuwa za bwanashamba ss home tulikuwa nayo mm ndo nimemaliza f4 ndo nlikuwa dereva yeye hakujua kuendesha. Tukaenda tukachinjiwa jogoo, wali wa kumwaga tukala. Sasa jamaa ndo dem akampa mzigo kala mzigo kama miezi 2 akamtwma dem na jogoo tushakula
Kuna jamaa yangu aliulizwa hili swali mnyantuzu mang'ombe mnomo. Akamwambia dem mm nipo tayari kukuoa. Jamaa akaambiwa ili nikupe mzigo basi njoo ujitambulishe. Wakapanga siku jamaa akaja kuazima pikipiki hime kwetu nakumbuka honda xtrail miaka ilee zilikuwa za bwanashamba ss home tulikuwa nayo mm ndo nimemaliza f4 ndo nlikuwa dereva yeye hakujua kuendesha. Tukaenda tukachinjiwa jogoo, wali wa kumwaga tukala. Sasa jamaa ndo dem akampa mzigo kala mzigo kama miezi 2 akamtwma dem na jogoo tushakula
SafiOk ngoja niandae.Cv zako za,maisha na za kimahusiano
OkOk ngoja niandae.