"Una malengo gani na Mimi?"

"Una malengo gani na Mimi?"

Kuna tofauti kati ya kuongea na kutekeleza ulicho kiongea, sometimes utekelezaji wa ulicho kiongea kinategemea mwenza wako ata behave vipi ktk kipindi cha uchumba na ndio maana kuna wengine hupewa moyo wataolewa ila tabia zao ndio zina wafanya watu wawakimbie.

Soo wewe ukiulizwa jibu lengo lake kwake ni ndoa.
 
Swali rahisi. Sema ukweli wako muache yeye aamue nini anataka.

Malengo yetu ni kupunguziana nyege ukitingwa sema nikitingwa ntasema. Ajue kabisa mpo kupigana pumbu
 
Ni swali zuri kimsingi lakini pia linakupa picha umekutana na sampuli ya aina gani ya mwanamke.

Mwanamke mjuaji atakuuliza hilo swali sababu kwenye akili yake ni tayari anawaza ni namna gani hajakuelewa na hajui unamipango gani ambayo kwake inafaida binafsi. Kwa kifupi anataka kujua yeye atafaidika vipi na huo uhusiano.

Sasa kwa mimi hilo swali lingejibiwa na swali. Nitamuuliza hapa tulipo hadi saa hii mimi ni mwanaume ambaye upo tayari kuachana na wazazi wako uje kwangu tuyajenge maisha, katika hali yoyote ya ugumu na mafanikio, magonjwa na afya, kwenye hofu na faraja, shibe na njaa, usiku na mchana, na kusimama katika misingi ya MUNGU?

Ajibu tu ndio au hapana then basi mjadala uishe. Sababu haimake sense mtu ambaye anakuamini anakukubali halafu akuulize swali kama hilo it means hajui yeye amesimama wapi na wewe.
 
Hakuna Swali napata shida kulijibu kama hili.

Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini.

Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa kumwambia kitu ambacho anapenda( ndoa).

Pongezi kwa wadada(mademu) ambao huwa hawaulizi swali hili. Huwa wanajiongeza wenyewe.
Mjibu, kwa sasa bado na date ila nkipata wa kuendana naye nitakaa naye.
 
Hakuna Swali napata shida kulijibu kama hili.

Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini.

Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa kumwambia kitu ambacho anapenda( ndoa).

Pongezi kwa wadada(mademu) ambao huwa hawaulizi swali hili. Huwa wanajiongeza wenyewe.
Ukichunguza kwa makini maswali kama haya hupenda kuulizwa wale vijana ambao hawana hela lakini pia wanaonekana makanjanjaa

Lakini mwanaume mwenye hela zake hawezi kuulizwa swali kama hilo aiseee

Ushauri wangu kwa vijana tafuteni hela tafuteni helaa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hata mwenye hela kuna wakati utaulizwa tuu.
 
Japo Maisha ya Tz ni Magumu lakini Mwanaume usimchezee Mwanamke ni Bora kuoa wake zako watatu kuliko kuwapa Mimba na kuwakimbia haipendezi Kabisa

So ukiulizwa Malengo jibu vizuri tu kuwa huu ni mchakato na unaweza kufanya Mimi na wewe tufike hatua muhimu ya Maisha ya ndoa
 
Back
Top Bottom