Unachoita wewe kiburi na ubishi wengine tutasema ni logical thinking tu.Sawa katika vipawa kuna kipawa cha kiburi na ubishi hivi pia ni aina ya vipawa ambavyo nikitaka kushawishi mtu lazima niwe nimekwisha mjua vyema akili yake.
Uwezo wa kushawishi ninao.
una kipawa cha machozi yani machoz Yana kulenga lengaMi ninalia sana nikiona mtu anamuonea mjane, yatima au wazee. Je inaweza kuwa ni kipawa?
[emoji30] [emoji30] [emoji30]Kipawa changu vita....ukianza vita na mimi jipange. Nisipokuondoa basi nakuchafua
Tuma nauli na unielekeze ni wapi,.teh[emoji28]Nakuomba nyumbani tafadhali kama una muda.
Kuvunja bikraKila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa baadhi ya watu/mtu (Kipaji)
Naamini kila mmoja anajua kipawa chake hadi sasa kama huna kipawa basi pole sana na Mungu akuoneshe kipawa chako na jinsi ya kukitumia.
Kwangu mimi nina kipawa cha USHAWISHI nasema hili kwa uhakika sana ninaweza kushawishi pande mbili kuwa sawa au pale ambapo hakuna amani kukawa na amani, naweza kubadilisha mtu mawazo yake na akaenda vile navyotaka kwa muda mfupi sana.
Kwangu mimi Najivunia sana kuwa na kipawa hiki wote ambao wamekuwa na mimi wamejikuta wanapita njia yangu, marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa.
Kwako wewe una kipi unachoweza kushukuru Mungu kuwa amekupa kitu cha kipekee kuliko yeyote?
Karibu.
Kinachokuuma nini hasa ? Mimi niliowashawishi wapo na nasema kuwa hicho ni kipawa changu ndugu hatujuani hata kwa sura.Unachoita wewe kiburi na ubishi wengine tutasema ni logical thinking tu.
Kiburi na ubishi ni pale wewe unapong'ang'ania kwamba una kipawa cha kushawishi wakati ukiulizwa maswali madogo tu yenye mantiki si tu unashindwa kuonyesha ushawishi, bali pia unaonesha hata kutoelewa maswali.
Utashawishi vipi wakati hata kuelewa maswali madogo tu kwa kufuata mantiki huwezi?
NiPm picha yako.Naweza kuprove hili????
Kwa maneno yake!! Hilo siweziMmh mbona hata maneno au maandishi unaweza kumjua mtu alivyo?? au unatumia picha tu?
Wenye ushawishi hawajisemi "mimi nina ushawishi". Utasikia watu wanasema "fulani ana ushawishi".Kinachokuuma nini hasa ? Mimi niliowashawishi wapo na nasema kuwa hicho ni kipawa changu ndugu hatujuani hata kwa sura.
Umeuliza kama naweza kukushawishi nikakujibu siwezi na ilikuwa makusudi sana kwa maana nimeandika kila kitu juu ya kipawa cha USHAWISHI ila unarudi kuuliza tena naweza kukushawishi, umekuwa na ufinyu wa kuelewa hukutakiwa kuuliza maswali tena kama naweza kukushawishi hapo ndipo nimeona unauliza kitu ambacho umejibiwa kwenye uzi.
Pili: toka naanza kukujibu nimekwisha kujua najibizana na mtu wa aina gani uelewa wa kujibu maswali upo na hadi tukikesha kujibizana hapa nitakujibu kejeli maana swali lako la kuuliza kama naweza kukushawishi ni kuonesha kuwa kuelewa kwako hadi ushituliwe bila hapo hakuna uelewaji wowote.
Una asili ya chuki na kujiona wewe ni zaidi ya wengine hata mwandiko wako unaonesha, unasema najisifia kuwa nina kipawa cha USHAWISHi mimi sijajisifia kuwa nina kipawa cha USHAWISHI ila nimeandika kile nilichonacho katika nafsi yangu.
Unatawaliwa na chuki wivu na uzandiki sana wewe sijajisifia kwa neno lolote lile umeanza kuona wivu na maswali ya kejeli na ya kujaribu.
Nilisahau kukwambia mbali ya kipawa cha USHAWISHI nina kipawa cha kejeli kama zako huwezi kunikejeli nikakujibu sahihi hata kama ni nani lazima ntakukejeli kwa hali yoyote ile.
Acha wivu nimeandika hapa uzi huu maalum kuweza kujua kile wenzako walichonacho kila mmoja kwa nafsi yake nahisi unapata maumivu sana ukiona watu wanavyoweka Orodha ya vipawa vyao hapa.
Naamini wewe ni mwanaume ila unajikuta unajivua uanaume na kujivika utoto wa kike.
Raphael Wa Ureno
Ndyo ni kipaji tuKama kipawa yaani intelligence usiwe ulozi
Swali dogo ? Hilo swali huoni jibu lake kwenye uzi au ni kuuliza upumbavu ambao unashindwa kuutambua !Wenye ushawishi hawajisemi "mimi nina ushawishi". Utasikia watu wanasema "fulani ana ushawishi".
Ukiona mtu anajisema "mimi nina ushawishi" ujue anajiuza huyo.
Wewe hujaelewa swali dogo tu kimantiki, kwenye ushawishi labda kwa watoto wa chekechea.