othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,976
- 2,753
Jiji nahama.Halo haloo mji mzito huu, shurti watu kukata panga umri. Eti bi Kidude ana miaka 50.
Jiji nahama.Halo haloo mji mzito huu, shurti watu kukata panga umri. Eti bi Kidude ana miaka 50.
Namrudishaje kwa mfano wakati nayeye kaninata kama luba....lol..afe kipa afe beki..Kume kucha. ..... Mother Confessor. .mrudishie dada wa-watu mume wake
Namrudishaje kwa mfano wakati nayeye kaninata kama luba....lol..afe kipa afe beki..
Ushamwibia mtu mume huko unachekelea tu
Namimi ntawapokea na kigoma changu cha Uruguay kwani nini bhanaaaa😂Aise '' utammudu mtoa mada lakini ? Maana hakawii kukujia na mashangingi ya magomeni Kuja kukusuta !!!
Namrudishaje kwa mfano wakati nayeye kaninata kama luba....lol..afe kipa afe beki..
Namimi ntawapokea na kigoma changu cha Uruguay kwani nini bhanaaaa
Bado uko chato kwani..??Hahaha aise ..Halafu sio kwa kunifanyia vile mpaka najihisi kufa kufa chaa !!! ... Ngoja niishie hapa mimi
Hahaha hapana nimerejea tangu j.pili. .nimeamua kumuacha Jpm n uzinduzi wake bandia wa mbuga. .Bado uko chato kwani..??
Cc. Hamisa😀😀Duh aiseee team kutegeshea mpo vizuri
Cc. Hamisa😀😀
Hahahaha kwa Sasa ana danga lingine limemficha bibie ana nyota ya bundiNa kimdomo chake kile kaambulia kufichwa tena
Hahahaha kwa Sasa ana danga lingine limemficha bibie ana nyota ya bundi
😂😂😂😂😂😂Wanawake kwa Sasa tunapambana kufanya maendeleo yeye anapambana kulinda sehemu za siri za mtu.