cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,377
- 181,586
Nikiwa na hasira napiga au kuvunja vitu hovyo hovyo mfano ndoo,chupa n.k











khaaaaaahSent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa na hasira napiga au kuvunja vitu hovyo hovyo mfano ndoo,chupa n.k











khaaaaaahPindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
1.KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
2.KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
3. KUONDOKA ENEO LA TUKIO / KUSEPA
4.KULIA MACHOZI
5. KULIANZISHA VARANGA / KUPIGA / KUVUNJA VITU
6. VILEVI / POMBE / NGONO
basi km ndiyo hivyo mi utaniua kwa ndoo maana nikiona unajishusha ndiyo nazidi kuongea nitalalamika mpaka
![]()
Namba sitaPindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
1.KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
2.KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
3. KUONDOKA ENEO LA TUKIO / KUSEPA
4.KULIA MACHOZI
5. KULIANZISHA VARANGA / KUPIGA / KUVUNJA VITU
6. VILEVI / POMBE / NGONO
Kwenye kitengo cha hasira kikishaguswa na kuamka hapa maajabu ndo huanza kutokea maana pamoja na ufupi nilionao lakini hadi Dari ya nyumba inakua kama ndani kuna kiumbe kikubwa sana kinaleta mtikisiko wa jengo zima kinachofata ni majirani na wazee was heshima kuja dirishani wakaniomba punguza hasira nione mm .Ww mama Muu kama unajua kitu ambacho hapendi usimfanyie mwenzio.Pindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
KUONDOKA ENEO LA TUKIO / KUSEPA
KULIA MACHOZI
KULIANZISHA VARANGA / KUPIGA / KUVUNJA VITU
VILEVI / POMBE / NGONO
We acha tuNajiona mimi kabisa, when I was too young, nikiwa na hasira sana, nilikuwa nahisi baridi kali, hadi natetemeka, nashindwa kuongea naishia tu kumuangalia aliyenikosea. Hasira sio kitu chema, tunatakiwa tu balance sana.
None of the abovePindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
KUONDOKA ENEO LA TUKIO / KUSEPA
KULIA MACHOZI
KULIANZISHA VARANGA / KUPIGA / KUVUNJA VITU
VILEVI / POMBE / NGONO