nikirud namtanua miguu Depends on how angry I am, if it doesn't do any real damage, tryna think of something else than what is making me angry.
Kama ina demage, hasira namalizia kwenye kufanya usafi, kutoa nguo zote kabatini na kupanga tena huku naongea mwenyewe.
Kama mnaandika kiswahili kwanini msiandike tu kiswahili moja kwa moja, ukizingatia mada imeletwa kwa kiswahili.Hasira ni mbaya,sumu iliyo hatari zaidi,
I remember few years i used to be such kind of person,mwenye hasira sana,ila nilikuja kugundua ni kutokana na uchungu wa vitu vingi na kutokuwa na uwezo wa kuhandle jambo kwa namna ya kawaida...
But nilikutana na dr mmoja akanipa somo,haki sitarudia kuweka hasira moyon
Otherwise nitakaa kimya au kutembea tembea nje.....
Life is too short
Yote hayo ni psychology,kila MTU anatenda tofauti kutokana na mazingira aliyokulia au kutokana vinasaba alivyoshea kwa family tree,na kila mmoja amepewa nguvu yakutawala hisia kama hasiraPindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
1.KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
2.KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
3. KUONDOKA UKIKOSEWA / KUSEPA / KUMFUKUZA ALIEKUKOSEA
4.KULIA MACHOZI
5. VITENDO / KUMPIGA ALIEKUKOSEA / KUVUNJA VITU
Hivi kwanini unajipa shughuli zisizo za lazima? It's a free country ninaweza kutumia lugha zote kwa sababu katiba ya nchi inaonesha TZ tunaongea kiswahili na kingereza.Kama mnaandika kiswahili kwanini msiandike tu kiswahili moja kwa moja, ukizingatia mada imeletwa kwa kiswahili.
Au nyie kiswahili akipandi vyema?
What a wifeDepends on how angry I am, if it doesn't do any real damage, tryna think of something else than what is making me angry.
Kama ina demage, hasira namalizia kwenye kufanya usafi, kutoa nguo zote kabatini na kupanga tena huku naongea mwenyewe.


3. Mie huwa nasepa tu, sababu nikikaa sichelewi kupata kesi ya kumtwanga mtu ndoo.
Kikawaida huwa nakaa kimya! Kero kubwa najiondokea zangu kujiepushia mabalaa


anatwanga mtu ndooNaongea kama kinandaa weee yani mi mpk nilie ni kwamba sikuwezi labda umenizidi umri na vitu km hivyo ila km nakumudu nitaongea mpk ..1 & 4
Kama mazingira hayaruhusu kulia namba moja ufanya kazi yake.
Nikiwa na hasira huwa siwezi hata kuongea
Dah! Hongera mwaya, me kuongea siwezi kabisa, ntakuangalia tu au nitakuacha hapo uendelee mwenyewe na kelele zako 😀Naongea kama kinandaa weee yani mi mpk nilie ni kwamba sikuwezi labda umenizidi umri na vitu km hivyo ila km nakumudu nitaongea mpk ..
Nitaongea kama cherehani
Haha ndio nyie mnakuwa hata simu hampokei
Dhaaa mimi kukaa kimyaaa yaniii huwa siongeii wala.Pindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako
1.KUKAA KIMYA / KUMCHUNIA / KUTOMUONGELESHA ALIEKUKOSEA
2.KUSHOUT / KUGOMBA / KUTUKANA
3. KUONDOKA UKIKOSEWA / KUSEPA / KUMFUKUZA ALIEKUKOSEA
4.KULIA MACHOZI
5. VITENDO / KUMPIGA ALIEKUKOSEA / KUVUNJA VITU