Una aina ipi ya hasira kati ya hizi?

Una aina ipi ya hasira kati ya hizi?

Hasira zangu hazitabiriki,zinacheza kwenye makundi yote hapo

Na kuna makundi mengine hapo juu hujayaweka mtoa mada

maana kuna wakati nikidakwa na hasira nafanyaga vitu bila kufikiria (kesho)
 
Back
Top Bottom