RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ( OHCHR) anasema mashahidi nchini Burundi wameripoti kugunduliwa kwa makaburi tisa.
Taarifa hiyo inasema makaburi hayo wamezikwa watu wengi kwa pamoja yakiwa na kiasi cha miili 100 ya watu wanaohofiwa kuuawa tarehe 11 Disemba 2015.
Chanzo: DW Swahili
Taarifa hiyo inasema makaburi hayo wamezikwa watu wengi kwa pamoja yakiwa na kiasi cha miili 100 ya watu wanaohofiwa kuuawa tarehe 11 Disemba 2015.
Chanzo: DW Swahili