Umuhimu wa michepuko

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
306
500
Amini amini nawaambia bila michepuko kuwepo katika dunia hii wanaume wengi wangekufa sana,wengi wangekuwa machizi kabisaaaa.
NB:michepuko si mizuri lakini ina umuhimu mkubwa katika jamii hasa katika karne hii. Wito wangu ni kwamba wanaume acheni kabisa michepuko ila pale tu inapobidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
306
500
Elezea kwa mifano
Kwa wenye umri kidogo wanalielewa hili suala. Kwa taarifa yako wanaume wengi kabla ya kuoa walijiapiza kuwa hawatataka kabisa suala la michepuko lakini baada ya kuoa sarakasi ni nyingi mno hatimae kwa moyo wa upole wanajiingiza huko. Pia naamini katika uumbaji Mungu alitupendelea wanaume kwa kutuma hekima kubwa na maoni zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ledada

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
14,439
2,000
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Ushauri mzuri nimepewa kwanzia mwaka umeanza
Ahsante mpendwa
 
beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
306
500
Upo sahihi kabisa Mkuu

Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake,kwahiyo kila mchepuko na mchepuko wake

Sitaki kabisa kusumbuliwa
These creatures are short minded. If you don't agree with this get into business and then come with ur answer on the subject

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
4,044
2,000
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Sisi hata tukichepuka huwa ni ngumu sahau mke ulimuacha ndani na watoto kwaiyo ndoa huwa ni ngumu vunjika, tatizo kwenu mkianza akili zenu zote huwa mnaziacha uko kwa michepuko yenu, kinachofuata ni kukutalaki kisha naenda opoa kibinti kingine cha miaka 18 na kiweka ndani
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
15,525

Wanaume mna raha sana
 
Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,146
2,000
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Babu Asprin njoo ujionee maajabu ya dunia.

Maendeleo hayana chama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom