Umuhimu wa michepuko

Umuhimu wa michepuko

Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Hahaha hahaha hahaha
Umeamua kumwaga mboga kabisaaa
 
Sanchi kamchukulia bidada mwanaume wake?
yes: huyo anae mwitaga sukari guru wake ni Mme wa mtu ameoa na ana mtoto mmoja. Kibaya zaidi mume hasikii wala ahambiliki aise, kuna kipindi apo nyuma walikuwa na majibizano.
 
yes: huyo anae mwitaga sukari guru wake ni Mme wa mtu ameoa na ana mtoto mmoja. Kibaya zaidi mume hasikii wala ahambiliki aise, kuna kipindi apo nyuma walikuwa na majibizano.

Ndio nimejua leo kumbe ni mume wa mtu
Na huwa haoneshi sura ya bwana yake
 
Back
Top Bottom