Umuhimu wa michepuko

Umuhimu wa michepuko

Sijui kwanini wanaona wana haki ya kuchepuka
Tena wako proud kabisa na wanachokifanya
Hawajajua madhara ya kuchepuka! Wanadhani wanapata amani kumbe wanabomoa familia!
Kipi ambacho mke anaweza kukosea asisamehewe mpaka ukavue nguo yako ya ndani kwa mwanamke mwingine?!
 
Kuna wakati mke ndani anakua pasua kichwa haswa,nyumbani hakukaliki mpaka inabidi utafute mdaka chozi!

Akupe hata faraja kidogo
 
Wakati wewe unatafuta mdaka chozi yeye anafanya nini eti
 
Hawajajua madhara ya kuchepuka! Wanadhani wanapata amani kumbe wanabomoa familia!
Kipi ambacho mke anaweza kukosea asisamehewe mpaka ukavue nguo yako ya ndani kwa mwanamke mwingine?!
Halafu unakuta hata mke hajakosea kitu...tamaa zao tu
 
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Hii itawauma sana😂😂😂
 
Ukiweka suala la kuvumilia michepuko haina nafasi... Hakuna aliye mkamilifu hilo likae kwenye akili zenu
Mimi sina uvumilivu kabisa,wife akinizingua kidogo,nampigia simu mchepuko wangu anaenda kunipetipeti!
 
Back
Top Bottom