Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hahaha hahahaUsione aibu,ni mambo ya kawaida kabisa,yanaongeza ushindani kwenye mahusiano!
Daaah
Hahaha hahahaUsione aibu,ni mambo ya kawaida kabisa,yanaongeza ushindani kwenye mahusiano!
We muache tu ajishaue, uzuri mie sitohangaika nae, najitafutia faraja zangu huko kwa raha zangu. Nikirudi home ni mwendo wa mapambio tu na tabasamu tele.@espy yuko ngazi ipi hapo wewe mdaka chozi wa auntie
upo sahihiKwa wenye umri kidogo wanalielewa hili suala. Kwa taarifa yako wanaume wengi kabla ya kuoa walijiapiza kuwa hawatataka kabisa suala la michepuko lakini baada ya kuoa sarakasi ni nyingi mno hatimae kwa moyo wa upole wanajiingiza huko. Pia naamini katika uumbaji Mungu alitupendelea wanaume kwa kutuma hekima kubwa na maoni zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia naona umuhimu wakeSio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
, umenena vyemaWe muache tu ajishaue, uzuri mie sitohangaika nae, najitafutia faraja zangu huko kwa raha zangu. Nikirudi home ni mwendo wa mapambio tu na tabasamu tele.

🤣🤣🤣🤣We muache tu ajishaue, uzuri mie sitohangaika nae, najitafutia faraja zangu huko kwa raha zangu. Nikirudi home ni mwendo wa mapambio tu na tabasamu tele.
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Miss you more...
Kweli kabisa, michepuko inarahisisha sana maisha. Ni muhimu kuwa nao, ili baba chanja akikuvuruga unakuwa na mdaka chozi wako, ni hivyo tu yaani.Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Yaani kama upo akilini mwangu, nami nimekutafutia mchepuko, maisha yamekuwa rahisiiiii.Upo sahihi kabisa Mkuu
Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake!
Sitaki kabisa kusumbuliwa
Kweli kabisa, michepuko inarahisisha sana maisha. Ni muhimu kuwa nao, ili baba chanja akikuvuruga unakuwa na mdaka chozi wako, ni hivyo tu yaani.
Kam anafikiri nitakaa nikimlilia na kumsumbua Mungu atulie hivyo hivyo. Nilipewa akili za kutumia sio kulilia vitu visivyo vya msingi.
Mecheka saaaana ujue auntie
HahahaYaani kama upo akilini mwangu, nami nimekutafutia mchepuko, maisha yamekuwa rahisiiiii.
Sijalipiza bebee, kwani we ulivyochepuka ulikuwa unalipiza?Hahaha
Acha ukorofi,kwani ni lazima kila tunachofanya na nyie mtulipizie?haipendezi kabisa kwa mtoto wa kike kuchepuka!
huo ni uprostituteSio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
huo ni uprostitute
True best hapo unaongea point sanaSio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Umenichekesha sana leoUpo sahihi kabisa Mkuu
Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake!
Sitaki kabisa kusumbuliwa