Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

ndio maana nilimuuliza ana plan ya kuwa masikini hadi lini? maana kajikatia tamaa mpaka kafikia hatua ya kubakiwa na huruma tu!! thats too bad.

Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?
 
ndio maana nilimuuliza ana plan ya kuwa masikini hadi lini? maana kajikatia tamaa mpaka kafikia hatua ya kubakiwa na huruma tu!! thats too bad.
Daah mapenzi ya huruma me mwenyewe siyawezi. Sijui tumuitie nshomile wa kisukuma ampe darsa la ubazazi kidogo. Maana yule akihonga sana ni mihogo, ila yeye na mabinti dam dam
 
chi ndio hapo chacha!! wale wanaojifanyaga hawahongi ndio wahongaji wazuriii, tena waweza kuta anahonga na hela haifuatwi(you know wht i mean?)

Daah mapenzi ya huruma me mwenyewe siyawezi. Sijui tumuitie nshomile wa kisukuma ampe darsa la ubazazi kidogo. Maana yule akihonga sana ni mihogo, ila yeye na mabinti dam dam
 
Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?
Wewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?
 
chi ndio hapo chacha!! wale wanaojifanyaga hawahongi ndio wahongaji wazuriii, tena waweza kuta anahonga na hela haifuatwi(you know wht i mean?)
Kumbe umewasoma Eeeh. Yani ukiwajulia wale hupati stress hakyanani unaenjoy tu
 
Wewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?
Hahhaha wewe unadhani wote humu wanahongwa? Kuna wengine humu wana nyota za kukopwa kuhongwa wanakusikia tu kwa shostiz wao. Uoga wako ndo umaskini wako
 
kila mwanaume huwa anajifanya haongi, ila kumbuka kila mjanja ana mjanja wale, unaweza kuta kakamatika analisha ukoo mzima.
Hahaha wewe usitoe siri bana, wasije wakaghairi bure, tutakufa njaa mjini hapa uwiii
 
Hongeni tu, sisi tunapiga bure tu, tunahonga siku ya kupiga mti ili akanunue sabuni ya kufulia chupi yake basi, lakini eti nimekaa ofisini nainua simu namtumia mwanamke hela laki moja, halaf akipokea laki yangu anapokea tena laki nyingine kutoka kwa jitu lingine, tunapangwa, sio mimi aisee
Nyinyi endeleeni tu na huo upumbavu

Siku nikioa nitakua nikimuonga mke wangu as much as i can, maana huyo atakua akiishi ndani mwangu,

Nyinyi endeleeni tu na hiyo karama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…