Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.

Ha ha ha...bora umemuita huyo binti maana nahisi HELA ndio msamiati pekee wa maana anaoujua. Kibaya zaidi hapendi kuitwa kwenda kuchukulia hela geto/home kwa mtoaji....yeye anataka atumiwe kwa M-pesa, Tigo Pesa etc. atoto ni shida aisee..lolz!
 
Asante kwa huu uzi, mwenzenu nina maradhi ya kuhonga (hongariasis), yaani nahonga karibia kila siku, wengine siwajui nahonga tu. Kumebarikiwa kuhonga.
 
Aisee umeongea kwa huruma, usijali wapo watu kama akina Heaven Sent na Valentina ambao wao kwao pesa ni bonus tu so watakupenda tu.

Hawa dada zetu siyo kabisa, kama mtu ni masikini hupati penzi! Najua am lonely kwa sababu sihongi but i thank God within my loneliness i find happiness na siku zinasonga!.....
 
Muhonge basi yule mwanafunzi wa ardhi anayetaka kujiuza kisa kakosa mkopo!
 
Ha ha haah...wewe HS, usijisahaulishe banaa. Hiyo haiitwi kulipisha aisee. Bali tuliambiwa na wahenga (walee wa Msoga) kuwa ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa hata kidogo tu. Nafikiri hii ndio ile Waingeretha wanaiita...win-win situation.
Teh muwe na huruma basi
 
Hawa dada zetu siyo kabisa, kama mtu ni masikini hupati penzi! Najua am lonely kwa sababu sihongi but i thank God within my loneliness i find happiness na siku zinasonga!.....
Aah mpendwa kisa cha kujikatia tamaa hivyo ni nini?
Aisee umeongea kwa huruma, usijali wapo watu kama akina Heaven Sent na Valentina ambao wao kwao pesa ni bonus tu so watakupenda tu.
Yani arelax kabisa, kina miss bonus tupo wa kutosha mnoooo
 
yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.

Huyo ndo atoto banaa. Mwingine ni wa kuchonga. But am dearly pleased kujua kuwa you love me already because yes I do have some coins...karibu. ha ha ha
 
yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.
Na anayekufikisha kileleni je..??
 
MNHHH...HAYA BANA MUNAOHONGA HONGENI MIE SINA ILA NIKIZIPATA NAMI NITAHONGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…