Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Haya!.......ila 'kuhudumiwa' huwa ina harufu ya kuhongwa!Oooh Yeye anaelewa kwa nini nimemuita
Haya!.......ila 'kuhudumiwa' huwa ina harufu ya kuhongwa!Oooh Yeye anaelewa kwa nini nimemuita
Hahaha lakini sio kuhongwaHaya!.......ila 'kuhudumiwa' huwa ina harufu ya kuhongwa!
Siyo kuhongwa ila hiyo harufu ya kuhongwa siyo kitu salama saaaaana!Hahaha lakini sio kuhongwa
Huyo Atoto yeye anataka nimuhonge kagari yaani vitz eti na yeye ndio atanifikiria kama network yangu inasoma,nikijitahidi sana naweza kumnulia kibajaji cha gurudumu tatu,je unafikiri atakubali? coz najua unamfahamu vizuri.atoto unaitwa huku
Mnunulie afu ndo utapata jibuHuyo Atoto yeye anataka nimuhonge kagari yaani vitz eti na yeye ndio atanifikiria kama network yangu inasoma,nikijitahidi sana naweza kumnulia kibajaji cha gurudumu tatu,je unafikiri atakubali? coz najua unamfahamu vizuri.
Nataka umdhamini maana mademu wa sasa hivi hawaaminiki,nikimnunulia halafu akanibwaga nakutafuna wewe au vipi?Mnunulie afu ndo utapata jibu
Fresh, jitose tuNataka umdhamini maana mademu wa sasa hivi hawaaminiki,nikimnunulia halafu akanibwaga nakutafuna wewe au vipi?
hawana kanuni hawa kaka...ni sawa na kumdhamini mmsai wa kilosa.fanya yote hayo na bado unaweza kuchapiwa tu!Ila ukitaka kuenjoi inabidi kuhonga vyote vyote.
Kahela kidogo, na ka asset kidogo, hapo mtoto mzuri hachomoki.
kha!??Fresh, jitose tu
Kwa nini mpendwa?Siyo kuhongwa ila hiyo harufu ya kuhongwa siyo kitu salama saaaaana!
Mbona kuguna jamani?kha!??
ndio inapokuja dhana ya ile sredi...''siku hizi ukiomba pesa unaambiwa njoo uifuate!" ya atoto.Usiponga anakimbia mazima.
Unakosa vyote
umejiweka dhamana?!Mbona kuguna jamani?
Eeh atanitafuta mimiumejiweka dhamana?!
ndio inapokuja dhana ya ile sredi...''siku hizi ukiomba pesa unaambiwa njoo uifuate!" ya atoto.
Yeah nilihisi tu hilo. Hahhaa kweli bora upewe cash, tatizo hawa vijana wa mwendokasi nao wana akili kama Mchwa, utaambiwa cash uifate homealafu mamii huwa sioni tags zako unless umeniquote, sijui kwanini!!
haya ndio mambo sasa, ila mie sitaki asset nataka pesa tuuu yaani pesa nyingi nyingiii ili ninunue asset mwenyewe.
Kama ni hivyo you may have a point!
Yeah nilihisi tu hilo. Hahhaa kweli bora upewe cash, tatizo hawa vijana wa mwendokasi nao wana akili kama Mchwa, utaambiwa cash uifate home
kweli kabisa hakuna hela tamu kama ya mwanaume nasema hakuna yaani mwanaume anaetoa hela anaujaza moyo hata ukijamba unasikia harufu yake.
yaani wanaume msioonga jipeni moyo tu ila mjue mnakera kama tume ya uchaguzi