Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

A
Bora nihongwe pesa, ukihongwa asset siku ya kuachana jiandae kufedheheka. Wananyang`anya kila kitu. We nipe pesa ninunue nachotaka na sio unileteee hakuu sitaki.

Achukue alichokuhonga ??
Huyo me au baradhul... na wewe boya atachukuaje wakati alikula tam yako ndo akanogewa mpaka kuhonga?
Patawaka moto bila kiberiti siku hiyo na hata kaa kusahau hilo bobo atakalolivaa!
 
nliwahi kuhonga kabati la nguo mpk leo akiliona ananikumbuka ananipigia simu
 
teh teh teh

Mtoto wa kike una maneno makali wewewe.

Eti patawaka bila moto.
 
nliwahi kuhonga kabati la nguo mpk leo akiliona ananikumbuka ananipigia simu
Bora yako mkuu ulifanya hivyo.

Ungemuhonga hela angekula zikaisha asingekuwa anakukumbuka mazima.

Najua saa hizi ukiomba kukumbushia enzi hizo hupewi vikwazo sana.
 
Na achaje sa kula mzigo, dawa yao ndo hio mwingine nataka nihonge kitanda najua ata kua kala chambo
 
Kuhongwa kuna raha yake, sweetie Unaonaje nibadilishe haya masofa kama yamepitwa na wakati vilee, duuuu hiyo raha asikuambie mtu
 
akikutana na wakina Ben kinyaiya,hemed PhD unachapiwa na pesa zako wanahongwa wao eti kisa wanafanana nao nyie hongeni tu maana wanawake bado hawaeleweki wanataka nn ?
 
Mwanamke anayevutiwa na ben kinyaiya atakuwa ana matatizo kidogo.
 
A

Achukue alichokuhonga ??
Huyo me au baradhul... na wewe boya atachukuaje wakati alikula tam yako ndo akanogewa mpaka kuhonga?
Patawaka moto bila kiberiti siku hiyo na hata kaa kusahau hilo bobo atakalolivaa!
Wee hujawajua ww, nimeshuhudia mdada mmoja hivi kakombewa kila kitu ndani chumba kikabaki cheupeee. Sina hamu mie wanaume wengine wapo poa ila wengine ni vichaa
 
Back
Top Bottom