Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
ahahaa ukifata home ukifika ufue minguo ya week nzima,mashuka yote machafu ufue mwishowe unagegedwa kwenye godoro kavu halafu unapewa elf 20 wakati ulitumia bodaboda elf 10 ili ufike ukiwa msafiYeah nilihisi tu hilo. Hahhaa kweli bora upewe cash, tatizo hawa vijana wa mwendokasi nao wana akili kama Mchwa, utaambiwa cash uifate home
sikia tu mkuu acha kabisa ...mimi mwanaume akinihonga yaani sijui nikuambieje sina tu bahati hyo nikimpata naishia kupigwa mizingaDuuuu,ata uki...?
jf kiboko,hata ukiwa na madeni akili itakaa sawa tu
Communication ndio ugonjwa wangu mkubwa kwenye mahusiano aiseeee.......Nihongwe vyooote nisinyimwe mawasiliano!!
Hahaha tutawaundia kamati mbonayaani taabu tupu, ukipewa gari unanyang'anywa ukipewa nyumba hali kadhalika, pesa nazo ndio vile tena hadi uzifuate basi tafrani. Ila bora pesa tu kuliko kuha kunyang'anywa vitu unabaki ukifedheheka.
Teh mabinti wanakutana na mengi jamani mweeahahaa ukifata home ukifika ufue minguo ya week nzima,mashuka yote machafu ufue mwishowe unagegedwa kwenye godoro kavu halafu unapewa elf 20 wakati ulitumia bodaboda elf 10 ili ufike ukiwa msafi
sasa kwenye elf 20 toa nauli elf 10 .ukitoa tena ya kurudi ni ziro juu ya ziro menina!
Duh! Yaani wewe ni kama Mimi aiseeCommunication ndio ugonjwa wangu mkubwa kwenye mahusiano aiseeee.......
Wow naona nimepata mdhamini anaejamini,sawa najitosa sasa wewe kaa mkao wa kula kabisa ila usije ukanikimbia au vipi? ila uwe tayari kunikumbatia nikianza kulia kwa maumivu.Fresh, jitose tu
Duuh yaani siamini kama nina bahati namna hii,yaani nakata mti halafu napanda mti.Fresh, jitose tu
Mkuu ilikuwa zamani maisha yamebadilika hata umkune VP bola chapaa hamna mapenzimwanamke anakuwa na wakati mgumu inapotokea anapata bwana anayemkuna kisawasawa lakini hana mavumba.
Naanzaje for example????Ila ukitaka kuenjoi inabidi kuhonga vyote vyote.
Kahela kidogo, na ka asset kidogo, hapo mtoto mzuri hachomoki.
Unaanzaje kuhonga au kuhongwa??Naanzaje for example????
KuchomokaUnaanzaje kuhonga au kuhongwa??