Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

hiyohiyo bhana, kwetu ii kitu wifi sijui shemeghi yote changanya changanya mimi

ha ha ha... kama ni hivyo.... looking forward to mafanikio...
naona lakini umegundua tayari kwa kiasi fulani she is loosening up..
 
ukila ugali wa sembe kwa dagaa mchemsho na maziwa ya mgando kama kiteremshia msosi utakuwa ni lishe ambayo inaongelewa humu kwenye huu uzi? Au yapo marekebisho yanayotakiwa ili ufikie kiwango kilichokusudiwa????????????????

Rutah perfecto....lol..

Hakikisha unapomaliza kula nawa mikono na sabuni maana shombo ya dagaa si unaelewa...lol
 
Niambie chakula aina gani unapenda, wali, ugali au vyakula vya unga wa ngano??

nimekula ugali kwa dagaa na kishushio cha mgando..........wali sipendi sana labda matoke ndipo utakuwa umenifikisha nitakapo................................lol
 
'Love until it hurts, and when it hurts love some more, love until it hurts no more' by Smarter.

Freema Agyeman...........................please love me but not as much as to hurt me............................I can not handle pain and in particular emotional pain..................................
 
nimekula ugali kwa dagaa na kishushio cha mgando..........wali sipendi sana labda matoke ndipo utakuwa umenifikisha nitakapo................................lol

Ruta basi nakuandalia matoke ya kuchanganywa na utumbo wa ng'ombe...
ni mchemsho wenye end result ya matoke, nyama, hoho, carrots, vitunguu,
garlic kwa mbali, pili pili kwa mbali, cabbage teta ilomenyuliwa (sio kukatwa...)
tangawizi kwa mbali... ikiandaliwa na limao kwa pembeni... naona itakua bora
kinywaji kiwe chai ya maziwa fresh kabisa ilotiwa iriki, abdalasin, na karafuu...
 
Aisee we binti..... mbona nahisi huu msosi ni mtamu kuliko ule uloniandalia........... mwekee mapilipili mengi ili awashwe, kabla sijakasirika!
 
Aisee we binti..... mbona nahisi huu msosi ni mtamu kuliko ule uloniandalia........... mwekee mapilipili mengi ili awashwe, kabla sijakasirika!

ha ha ha ..... sawa babu.... kwanza nimeahirisha siandai kabisa....lol
 
Back
Top Bottom