Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
And babu is here...... watching closely..... Someone talking behind babu's back?aaaah! usijali... alishindwa CPU... jamaa mbishi JF nzima... sembuse babu huyu ambae sometimes understanding...lol
And babu is here...... watching closely..... Someone talking behind babu's back?aaaah! usijali... alishindwa CPU... jamaa mbishi JF nzima... sembuse babu huyu ambae sometimes understanding...lol
Great as South Sudan now on their own government. But should honour efforts initiated by former leader of the new nation, the late John Garang, who was killed by Albashir through support by Uganda's Museveni administration. That is bad but the country and people of South Sudan are free from North Sudan of Arabs. Kisima.
aisee, naona umetia sipo kabisaaa...unalifahamu International Forum, kule ndo kwenyewe
Hapa tukiongelea jinsi chakula kilichopikiwa vizuri kinavoweza kuenhance ur sexual life..
Now........ can you rewrite this in Capital letters?No Babu... was reminding my Sweetie not to be too harsh on Babu... for babu is very understanding...
zamaaaani enzi zile nilikuwa nasema ntakapo oa sitataka kula chakula cha housegirl. kwamba lazima nile chakula cha wife niwapo nyumbani. kwamba hata kama anafanya kazi, tutarudi wote, tutaingia wote jikoni na kupika. but realities of life zimefanya hii fantasy yangu ibaki huko huko fantasini. BUT come weekends na wife yuko nyumbani, she MUST cook, vinginevyo sili...! ntaawachia hapo misosi yao na kwenda kutafuta chips kuku kwenye nearest bar! bahati nzuri najua misosi ya wife ikoje so she simply must cook. hakuna cha kufurahisha zaidi ya msosi alopika wife.
am a good cook na mara moja moja naingia jikoni kupikia familia na wanangu. especially nipate samaki fresh toka lake victoria. (bahati nzuri jamaa kule sinza mori analeta ocsasionally). maanake wife by nature hawana samaki kwao na mimi by nature ni mvuvi, huwa naona i should not spoil the moment. karibuni wapendwa mpate mboju kwa ugali wa muhongo!
ha ha ha... ha ha ha... hii post imenifurahisha saaana... mno...
From your post Manumbu ni dhahiri mambo yamebadilika saaana mpaka to the
extent kuna families inakatika miezi 6 haijakaa kama familia kula chakula pamoja mezani
mama karudi, baba katoka, mtoto discussion room e.t.c. Lakini wengi hawajui tu!
Hakuna kitu muhimu na cha maana kama chakula kuweza jenga ukaribu na intimancy
kati ya wanandoa na familia...
Napenda saana wanaume ambao ni wapishi na once in a while (hata kama mara moja kwa miezi kadhaa..)
akaamua kupika kile awezacho kwa ajili ya familia yake regardless kua the wife yupo... Na ni wazi
saizi kama ukitaka mkeo apike kila siku ndio ule that means aacha kazi u provide kila kitu..
utaishia kuzeka kwa majukumu kabla ya wakati wako hata kama unakula vizuri vipi
labda uwe really loaded...
umenikumbusha kitu hapa. kaka yangu mkubwa ana mazoea. asubuhi wanakaa wote mezani for breakfast yeye, mkewe na wanae. tangu watoto wakiwa wadogo mpaka leo hii wako universities wamekuwa na hii custom. imewasaidia sana kuwa karibu. nadhani i should start hii kitu. sio watoto wanalishwa na dada na nyinyi mnakimbizana huko mabafuni ili muwahi foleni. pamoja na foleni unaweza amka mapema ukapata japo 20 minutes za kukaa na watoto for breakfast kabla ya kuondoka.
hata nikiwa loaded kwa usalama na amani yangu bora wife nae aende kazini. manake akibaki nyumbani na all the energy inaelekezwa kwangu, ntashindwa kucheza mpira....! you know what I mean AshaDiii...!
we bwana wee utacheza mpira dkk zote 90 kila siku? si hata uwanja mtauharibu. ndo maana majani hung'oka na viwanja huanza kupata vipara. kwa nini ucheze dk 90 kila siku? mpira upo na kiwanja kipo. basi siku moja moja mnakimwagilia majani yaote, yawe na rutuba ili mpira uchezwe bila madhara. AshaDii anaingia uwanjani daily na kwa dk 90 zote? hata FIFA wanasema timu zipumzike kabla ya next game...!!!
am taking the advise ya kula pamoja very seriously. the best kwangu which is more practical itakuwa breakfast. lunch, dinner will be difficult kwa sisi washinda kazini na mafaili yasiyoisha. itabidi mamii aachane na mazoea yake ya kushindwa kuamka asubuhi for whatever the reason ili tuanze hii style nzuri ya maisha na malezi. itatusaidia pia kuachana na hii misupu za asubuhi subuhi mijini ya vikuku vifaranga kisa hukunywa chai nyumbani
ha ha ha... ha ha ha... ha ha ha... NO COMMENT!!! (In Blue....)
Ila itabidi pia kuangalia na kazi ya wife/majukumu yake na mda wake wa kupumzika...
Hii issue kwa kuanzia sababu hamujaweka hio desture chagueni hata Sundays kua kama
ni waendaji kanisani basi Lunch and dinner (hata kama mna mitoko/vikao...) lazima woote
wawepo, maana hii ya asubuhi... mtaongea nini Manumbu, kila mtu yuko juu juu
mara mtoto haoni daftari, mara yeye wife kaanda ndio chai but late for work and the like...
will try mseylf tomorw morning and see what happens and will continue from there. but daily meeting hata kama ni ya 10 mins itasaidia sana. will share my xperience
but why no comment? ....say sth