Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Mi bana ni babu wa wajukuu zem geloz. Nyie zem boyz mna utata sana. Mnaniombea nife ili haka kabaisko kangu mkauze mkanywee pombe. Hawa wa kike wakiolewa wanawachuna waume zao afu wanamtumia babu yao hela ya udoro na kununulia mkongojoz..... si eti Ashadii eh?

Haha..babu..i kant bilivu unanikana sasa hivi!
Mbona mimi nakuombea maisha malongi babu...mabusara yako sijamaliza kuya-tap! usife sasa hivi.
Tatizo ni pale interests zako kwa wajukuu zinapokuwa sivyo ndivyo...ndo unakuta ninaomba mwongozo from u!!!
 
Hapo sasa ndio unaharibu.... kua najua kwanini umeuliza... au i have misunderstood?? lol

sidhani kama umenipata vyema. Me n babu go back to the times of Lizzy n babygal n daughter n the like.
Babu ni mwongozo tu nnaotaka from thee...noting else..LONG LIVE BABU ASPIRIN!!!
 
...Asha Dii asante sana kwa darasa hili. Binafsi napendelea balance ya mahanjumati na chukuchuku,
maana wengine jamani tupo kwenye 'bordeline,'....tukiendekeza mahanjumati kidogo tunalipua magonjwa ya BP na kisukari. Naamini pia, ni wajibu wangu na Bi Mkubwa kuhakikisha tunakuwa na mpangilio mzuri wa Vyakula na Muda wa kula.

Ahsante sana.

My speacial thanks to you Mbu for posts za and posted topics is of great value to me and other JF members... kweli zimesimama hasa kwa wale wanothamini knowledge and what you would do with it in the long run... Na kama una play part in deciding the kind of food you want then Bi mkubwa ana bahati saaana, maana ni wanaume wachache wanajua what they want to eat as long as it is delicious mdomoni... thus Big Up to you..

Pamoja saana and Ahsante pia...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
sidhani kama umenipata vyema. Me n babu go back to the times of Lizzy n babygal n daughter n the like.
Babu ni mwongozo tu nnaotaka from thee...noting else..LONG LIVE BABU ASPIRIN!!!
Na hilo ndilo neno la Mungu. Nawe Ubarikiwe sana Mentor.

Siku nyingine usiulize sana utajing'ata ulimi.
 
sidhani kama umenipata vyema. Me n babu go back to the times of Lizzy n babygal n daughter n the like.
Babu ni mwongozo tu nnaotaka from thee...noting else..LONG LIVE BABU ASPIRIN!!!

100% reciprocated.... Dah!!
 
that is 'super darling' mazee

eniwei, nimemuomba awe wifi yangu bhana ili siku moya nipeleke ile toto FF bombay kupata hanymun kidogho
Aisee unataka kuniondolea appetite? Lunch time hii ujue.
 
that is 'super darling' mazee

eniwei, nimemuomba awe wifi yangu bhana ili siku moya nipeleke ile toto FF bombay kupata hanymun kidogho

mmmmh!! speculating... wifi tena?? not shemeji?? lol
 
ukila ugali wa sembe kwa dagaa mchemsho na maziwa ya mgando kama kiteremshia msosi utakuwa ni lishe ambayo inaongelewa humu kwenye huu uzi? Au yapo marekebisho yanayotakiwa ili ufikie kiwango kilichokusudiwa????????????????
 
Aisee unataka kuniondolea appetite? Lunch time hii ujue.
apetaiti huwa haiondolewi na apetaiti aisee... ntakurudisha kule mtaa wetu wa primary tuone kama itaondoka

Ashadii wifi yangu nimechumbia pacha wake
 
Back
Top Bottom