Umri wako.

Umri wako.

Hii fomula sio ya kweli,

me nimeifuata kamili kabisa ila jibu ninalopata ni umri wa mdogo wangu inakuwaje hapo

LoL
 
Wengine hesabu baba mkwe!




(a)3(n+1)=m. (b)m-(2n+3)=p. Substitute n kwa umri wako,jibu la equation(b) i.e p=umri wako!mfano umri wako ni miaka 21,then;(a)3(21+1)=66;(b)66-(42+3)=21 ambao ndo umri wako!
 
Uko sahihi kabisa nimepata umri wangu baada ya kufata hiyo formula.


let me explain; (i)chukua umri wako,jumlisha na 1,jibu utakalopata lizidishe mara 3.jibu utakalopata tulipe jina a. (ii)chukua umri wako,uzidishe mara 2,kisha jumlisha na 3.jibu utakalopata tulipe jina b. (iii)a-b=umri wako!
 
Back
Top Bottom