Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Wewe jamaa una confidence sana yaani unamrekebisha mtu kwa kujiamini kabisa alafu Bado umeingia chaka........2000 kutoa 1970 inakunja 30 mkuuFrom 4 mwk 2000 atakuwa alimaliza na twenty sio 30
Ausiyo sijui umenielewa ndugu
Yes 47/48 yuko hapoHawezi kuwa na miaka 55
Mwonekano wake wa kupauka tuShikamoo kaka mkubwa π
Huyu Polepole atazeeka kama Mzee Kingunge alizeeka bila kudhoofika haraka kimwonekano
Mademu wanakudanganya ukishawapa helaMimi watu wakiniona wanadhani nina 25π€kumbe 11 zaidi
Bahati nzuri sana!! ,kitu kigumu kwangu nikutoa hela kwa mwanamke ili anipe uchi sijawahi na sifikirii,na wanaosema hivyo mara nyinginni wale ambao ni mara ya kwanza kukutana naoMademu wanakudanganya ukishawapa hela
Nakuombea its never too late.. Sometimes watu hutoboa uzeeniKuna wakati nikikumbuka umri wangu huwa napata shida sana. Age go halafu ninayaona ya kufanya hayajakamilika. Ninachoka hadi nakosa hamu ya kula.π€π€
Hii sijaifanyia utafiti,lakini ninachokijua moja hili suala ni la kibaiolojia,pili life style(anakula nini,anakunya nini,mazoezi nk.)Aaah, je ni kweli Kama wanavyosema wadau ukipunguza kupiga mkwaju unakua vizuri ?
Lishe ndio muhimu sanaHii sijaifanyia utafiti,lakini ninachokijua moja hili suala ni la kibaiolojia,pili life style(anakula nini,anakunya nini,mazoezi nk.)
Hakika nadhani hiyo ndo sahihi na kufanya mambo kwa kiasi.Hii sijaifanyia utafiti,lakini ninachokijua moja hili suala ni la kibaiolojia,pili life style(anakula nini,anakunya nini,mazoezi nk.)
Naam,mkwaju ni tiba ya akili ikiwa ktk viwango sahihi ni tatizo ikiwa too much,Hakika nadhani hiyo ndo sahihi na kufanya mambo kwa kiasi.
Na mazoezi fatherLishe ndio muhimu sana
Amumjui Samia bushiri nyinyi πππ alicho kifanya Polepole ni sawa na kuvujisha picha za ngono za gigy money mtandao kisha kudhani umemkomoa ....siku mkijua kuwa samia bushiri anakiburi cha upumbavu uliotukuka ndiyo mtajua ninacho sema....πππMtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
MarhabaShikamoooπ
Kwenye Lishe kweli kabisa nadhani hii inawezekana ikawa na ufanisi .Na mazoezi father
Kijeba, kijeba Neno la zamani,nawe ni kijeba Nini?!Kumbe ni kijeba haswa! Nilidhani yupo kwenye 40s!
Kachelewa sana kuingia kwenye mfumo wa siasa za nchi hii,ni mchakato wa katiba mpya ndiyo umemtambulisha kwa wengi.