pererge
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 571
- 206
sasa bible si inaonesha viumbe vyote plus binadamu waliumbwa ndani ya siku sita..? sasa kwa nini kuwe na gap kubwa kati ya miaka waliyotokea dinasours (200 mill yrs ago) na aliyotokea man (10,000 yrs) ago..?
Hawa aliumbwa baada ya Adam, hivyo inamaana Adam aliishi bila ya kuwa na binadam mwenzake hadi pale alipoumbwa Hawa. Je unataka kuniambia muda aliokaa pekeyake Adam ni ndani ya siku 6 ?