MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Kwa nini mungu ambaye anajua mahitaji yako kabla wewe hujazaliwa akuagize uombe?
Ana matatizo ya kisaikolojia yanayohusiana na narcissistic personality ya kupenda kuombwaombwa muda wote hata kama anajua unachohitaji na uwezo wa kukupatia anao?
mbona watu wanajua watoto wao wana shida ila hawawapi mpaka waombe tena wasiposhukuru huwapora ??