Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,879
- 145,860
umejuaje hayupo au unaamini ?
Swali hili nishalijibu hapo juu, unajua kusoma?
Thibitisha kwamba mungu yupo.
umejuaje hayupo au unaamini ?
Swali hili nishalijibu hapo juu, unajua kusoma?
Thibitisha kwamba mungu yupo.
hili swali hujajibu unajua au unaamini ? hili swali kila siku unalikimbia.
Kujua kwa margin of error gani na framework gani?
njia chagua mwenyewe ambayo iateleweka ikiwezekana tumia zote ili nijue kama unajua mungu hayupo ukishindwa ni imani kama ninavyoamini mimi nothing else
Niliyoichagua nimeieleza hapo juu lakini inaonekana hujaielewa.
For starters, Heisenbergs Uncertainty Principle forbids absolutes, hence my asking for framework and margin of error.
hujajibu kama unaamini au unajua.
kwa nini uzunguke kutoa majibu
mimi naamini mungu yupo.
wewe unajua au unaamini mungu hayupo ?
hivi unafikiri nani analazimisha imani ya mwenzie ??
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Mkanganyiko ni mkubwa hata mimi nasubiri majibu ya wadau!!
kasome mwanzo 1na 2 vizuri. dunia iliumbwa zamani sana siku ya kwanza mungu alifanya kazi ya kutenganisha nuru na giza tu. hivyo ni kweli dunia inaweza kuwa na miaka billioni 10. na wala bible haijichanganyi na sayansi.
where is your stand...?
a)conclusively no God...
b)God's presence debatable
kwa hiyo kuna mungu wengi tu, kila imani na mungu wake?
kwanza unazungumzia kati ya imani zipi?
Sijui mungu wakati a nafanya hivo alikuwa kakaa wapi!
by stating so...... are you in the former(a) or the latter(b)...?God, as in the omnipotent and omni benevolent godhead who created this universe, cannot possibly exist since his supposedly omnipotence and omni benevolence is contradicted by his supposed creation.
The idea does not pass a simple test of logical consistency, let alone ascend to the lofty towers of godly nature.
like i said, inategemea na imani yako. ila fahamu wawepo wengi, awepo mmoja au asiwepo, hakuna atakayekuthibitishia tofauti na uaminivyo wewe. coz its a belief. no one can prove to you otherwise except yourself
kasome mwanzo 1na 2 vizuri. dunia iliumbwa zamani sana siku ya kwanza mungu alifanya kazi ya kutenganisha nuru na giza tu. hivyo ni kweli dunia inaweza kuwa na miaka billioni 10. na wala bible haijichanganyi na sayansi.
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza
siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?
Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke
Siku ya 7 akapumzika!!