win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,126
- 31,058
niliamua mwenyewe bila kushikiwa fimboUliamua wewe kwa hiari yako au ni kulikuwa ushawishi kutoka nje. Kwa akili uliyonayo leo unaona ni sawa kwa umri ulioanza nao haya mambo au ungechelewa kidogo!