Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,268
- 4,080
Utakuwa umejipotosha mwenyewe kwani wapo waliokutangulia kuyaishi hayo maisha kabla yako. Kwa kutumia uzoefu wao (Experience) walionao inakupasa (japo sio lazima) usikilize Ushauri wao na kuutendea kazi. (Don't learn through the hard way - kama vile mtoto mdogo unamkataza asishike moto lakini yy anang'ang'ania huwa ni busara unamwacha na akiungua ni mara moja tuu hatokaa tena arudie kushika moto -amepata uzoefu(Experiance)Kwahiyo kwakuwa ni hatua mpya tunaweza vyovyote tunavyojiskia katika umri wowote ?
Vivyo hivyo kwa mtu mzima akishajitambua; huwa anapita shuleni (Darasa) Formal au Informal ili aweze kujua yale yaliyokwisha kufichuliwa/kujulikana kwa wengine naye ajifunzie mumo humo sio eti ni mpaka limpate la kumpata ndo ajifunze. Ukifanya tuu kiholela mbona watakuita chizi/mwehu?