Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,990
- 17,653
Nikirudi ni suala la muda tu, nadhani unaelewa Crush? 😊Sawa my twin 😊
Nikirudi ni suala la muda tu, nadhani unaelewa Crush? 😊Sawa my twin 😊
I know, crushie 😊Nikirudi ni suala la muda tu, nadhani unaelewa Crush? 😊
Umesahau pale penye +y axis. Lakini nilitegemea ujikite kwenye ule mchoro (circumscribing line) ya nje inayokuwezesha kusema umbo hili ni mduara sio mraba/mstatili au pembe tatu au vinginevyo.huanzia kwenye sehemu ya mduara inayopatikana kwenye +x axis
Hapa hapa kwenye comment, kasemea moyoni yeyrSio lazima ujikunje sana. Subiri Mbaga Jr aje akuelekeze vizuri
Mambo ya nyeto na mke hayaingiliani, kila kitu kina nafasi yake hapoSasa umeoa mke wa kazi gani kama bado unanyetuka!
La Hasha. Matamanio (Ashki) ikizidi, badala ya kutenda kosa la Kuzini(Uzinzi)Kwahiyo mkeo akisafiri badala umwombee mabaya yasimkute wewe unaamua kunyetuka, kweli!
Hakuna ushindani hapo, n kila kitu kipo kwenye nafasi yakeMkuu kwamba mkeo anashindana na kiganja chako kama mchepuko! Au sijakuelewa vizuri ? Na je mkeo anakuruhusu ufanye punyeto! Huoni kama ni kama tusi kwake?
Kwahiyo hata nikiwa na miaka 47 ni sawa kufanya punyeto!La Hasha. Matamanio (Ashki) ikizidi, badala ya kutenda kosa la Kuzini(Uzinzi)
unafanya hilo kama njia mbadala. Lakini hata hivyo bado unaweza kuwa mvumilivu na sio kila unapokuwa na hamu - ni lazima kujitawala na kuutiisha mwili wako ambalo ni Hekalu la Roho Mtakatifu - kwa mujibu wa wale wa Imani ya Kikristo.
Nyeto, tena mke ameikuta nyeto hvy lazima aipe heshima zoteKati ya mke na punyeto kwako ni kipi kinatangulia kwa umuhimu?
Kwenye uzi wako umeweka hoja nyingi,huo mfano wako ni hoja moja tu,Mkuu muda mwingine inakubidi uwe makini hata kama maisha ni yako. Mfano wewe mwanao afikishe miaka 33 bado anakutegemea wewe kwa kila kitu, utamfurahia au utakuwa unamvumilia kwa vile ni mwanao!