Umri unachosha

Umri unachosha

Tukiachana na elimu , mfano binti akizaa akiwa na miaka 15 sehemu kubwa ya jamii sikuhizi haitofurahia sana kitendo hicho kwa maana ya kwamba kuna umri ambao inakubalika akifanya hivyo. Sasa nataka nifahamu umri huo
Kijamii na kisheria, umri unaokubalika binti kuanza kuitwa mama ni kuanzia miaka 18 hadi 25 na kuendelea. Chini ya miaka 18 kwanza ni mtoto kisheria, lakini to be honest, siku hizi issue sio umri tu, jamii inaangalia sana economic stability. Hata ukiwa na miaka 20 lakini huna mbele wala nyuma, bado utaonekana kituko na mzigo kwa wazazi.

Umri sahihi siku hizi ni ule umri ambao binti anaweza kujitegemea au awe amepata mume anayeeleweka, sio binti kuzaa akiwa bado anategemea hela za kujikimu kutoka kwa wazazi.
 
Umri sahihi siku hizi ni ule umri ambao binti anaweza kujitegemea au awe amepata mume anayeeleweka, sio binti kuzaa akiwa bado anategemea hela za kujikimu kutoka kwa wazazi.
Haya na huu umri wa kuweza kujitegemea pia bado ni kipengele, akifikisha miaka 30 bado anaishi kwao minong'ono inaanza. Ni umri gani huo?
 
Haya na huu umri wa kuweza kujitegemea pia bado ni kipengele, akifikisha miaka 30 bado anaishi kwao minong'ono inaanza. Ni umri gani huo?
Bongo maisha ni kipengele sana! Kiuhalisia the magic age ya kuanza kujitegemea kijamii huwa ni kati ya miaka 23 hadi 26 yaani baada tu ya kumaliza chuo. Ukifikisha miaka 27 hadi 29 bado upo kwa wazazi ndio huwa mwanzo wa hiyo minong'ono kuwa unajidekeza.

Ikigonga miaka 30 ujue kinachofuata ni kikao, utasemwa una nuksi kumbe mtaani vyuma vimekaza haswa!
 
Mleta mada hili ni bandiko bora kabisa hasa kwangu ninaposheherekea siku ya kuzaliwa..

Ninacho jua ni kuwa binadamu hasa wasio kuwa na uelewa hujenga insecurity kwa watu wasi ishi wa navyo taka..

Kuwa mtoto utakavyo mkuu,
Cheza furahi
Kunywa pombe
Fanya mapenzi
Safiri dunia

Inshort hakuna formula ni wewe unaitengeneza hiyo formula
 
Love the life you live
Live the life you love,

Haya ni maisha yako,achana na watu watakuonaje au watakusemaje,
Life is too short,enjoy it before it's too late.
Mkuu muda mwingine inakubidi uwe makini hata kama maisha ni yako. Mfano wewe mwanao afikishe miaka 33 bado anakutegemea wewe kwa kila kitu, utamfurahia au utakuwa unamvumilia kwa vile ni mwanao!
 
Back
Top Bottom