Umri gani sahihi kupata mtoto?

Umri gani sahihi kupata mtoto?

Mimi naona umri haujalishi,kwa sababu ukiwa na uwezo wa kubeba ujauzito au kusababisha ujauzito tayari niumri sahihi.

Ila utayari wako ndio jambo la msingi.
Unatakiwa uwe tayari kuwa baba /mama na pia kuwa mlezi. Hapo unaelewa inatakiwa uwe na vitu gani.
Mia.
 
Kuna kuolewa na kuna kuingiliwa. Tuliza akili.
Ukishaoa ni Haki yako ya unyumba kumuingilia mkeo..unless awe na matatizo ya kiafya kama ugonjwa.
Lakini ndoa inaendana sambamba na tendo la ndoa
 
Ukishaoa ni Haki yako ya unyumba kumuingilia mkeo..unless awe na matatizo ya kiafya kama ugonjwa.
Lakini ndoa inaendana sambamba na tendo la ndoa
Narudia tena kuna kuolewa na kuna kuingiliwa. Tuliza akili.

Watu tunaoa kwanza kisha akifika muda wa kuingiliwa tunachukua mke wetu tunaenda kuishi nae.
 
Narudia tena kuna kuolewa na kuna kuingiliwa. Tuliza akili.

Watu tunaoa kwanza kisha akifika muda wa kuingiliwa tunachukua mke wetu tunaenda kuishi nae.
hayo ni maamuzi yako binafsi ambayo umejiamlia....ila kuna wanaooa watoto na kuwaingilia hao ndo wabaya sasa.

Kwahyo Serikali zinatakiwa zikataze huo upuuzi wa ndoa za utotoni
 
Wakuuu natumai mu wazima.

Kama una girlfriend amekuzidi miaka 2 je ni umri gani sahihi wa kupata mtoto ikiwa mimi niko 20yrs na nina kazi yangu na gari.

Ushauri pls
Mtoto atakuja tu kama wewe ni rijali haina cha mpangilio unakuta tu himo
 
Ukishaoa ni Haki yako ya unyumba kumuingilia mkeo..unless awe na matatizo ya kiafya kama ugonjwa.
Lakini ndoa inaendana sambamba na tendo la ndoa
Hiyo ni sheria ya ndoa kiimani, lakini sheria za nchi zinasisitiza ukimuingilia mkeo bila hiari yake basi umebaka. Kama hataki muache sio kumla mkeo kama kuku wanavyokulana ebo
 
Hiyo ni sheria ya ndoa kiimani, lakini sheria za nchi zinasisitiza ukimuingilia mkeo bila hiari yake basi umebaka. Hutaki kumla mkeo kama kuku wanavyokulana ebo
Sawa,ofcoz sijasemea kufosi ila naongelea haki ya unyumba kwa wanandoa...mfano mtoto wa miaka 9 amepevuka kiakili kuwa na uwezo wa machaguzi ya kukubali kuolewa au kumtanulia mzee miguu?
 
Usingetaja gari sasa, anyway hakunaga umri sahihi kwa kupata mtoto isipokuwa ni pale tu ambapo ambapo unajitambua nini utatakiwa kukifanya upatapo huyo mtoto.
 
Back
Top Bottom