Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,594
- 53,375
Umemkazia sanaKudadeki zako ...rudi darasa la tatu huko ndiko kunakoanzia kuumba mwandiko pamoja na maneno na herufi sasa[emoji57][emoji57][emoji57]
Umemkazia sanaKudadeki zako ...rudi darasa la tatu huko ndiko kunakoanzia kuumba mwandiko pamoja na maneno na herufi sasa[emoji57][emoji57][emoji57]
Nakubaliana na maoni yako mkuu, kuleta mtoto duniani lazima mtu awe na utayari coz malezi sio kazi ndogo hata kidogo!!!Uwezo kifedha and emotionally ready. Japo sio lazima uwe financially stable lakini uwe na uwezo wa kumpatia mtoto mazingira mazuri ya kuishi, chakula, mavazi , matibabu.
Na kuwa baba au mama kwa mtoto wako sio kumleta tu mtoto duniani, bali ni kumlea katika malezi mazuri. Mtoto anahitaji uangalizi mkubwa sana na uwepo wako.
Ni mtazamo wangu.
Jirani huwezi amini mtu akianza kuandika X badala ya S mapema kabisa namtoa kwenye reli maana najua hatakuwa na cha kuniambia.Nazichukia hizo, kuna lijamaa fulani ni jirani yangu utakua linanitumiaga msg za hivyo..
xaxa kwn kna ttz gn xxta?Jirani huwezi amini mtu akianza kuandika X badala ya S mapema kabisa namtoa kwenye reli maana najua hatakuwa na cha kuniambia.
Kuna mdogo wangu alikuwa anaandika huu utumbo,mbona kanyooka
Kuna wakati hawana hamu kabisa mkuu, usifoc kumla, muombe vizuri au mwambie leo tubadilishe maeneo unaenda nae mbali kidogo atakubali, sasa kila siku mazingira ya sex ni hayo hayo ni ngumu kukuambia ila unakuta amechoka, sex ina vitu vingi sex inataka location pia kama hamjuiSawa,ofcoz sijasemea kufosi ila naongelea haki ya unyumba kwa wanandoa...mfano mtoto wa miaka 9 amepevuka kiakili kuwa na uwezo wa machaguzi ya kukubali kuolewa au kumtanulia mzee miguu?
Akitaka asitolewe kwenye reli na watu abadilishe mwandiko.Umemkazia sana
😅😅😅sijakukazia mdogo wangu
Wacha bhana 🤪🤪Hata hivyo kusoma ni kupoteza mda utakuj kuypat maisha uzeen hat uyafaidi.
Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆hebu huko we nae😆😆😆😆😆😆xaxa kwn kna ttz gn xxta?
Hakyamama jirani umeongea point sana 🤛🤛Kuna wakati hawana hamu kabisa mkuu, usifoc kumla, muombe vizuri au mwambie leo tubadilishe maeneo unaenda nae mbali kidogo atakubali, sasa kila siku mazingira ya sex ni hayo hayo ni ngumu kukuambia ila unakuta amechoka, sex ina vitu vingi sex inataka location pia kama hamjui
vitu vingine huwa ni unnecessary kabisa kuongea/kuandikaikiwa mimi niko 20yrs na nina kazi yangu na gari.
Soma kwa kiasi unachoona unatamani kuongeza kitu kichwani, usiwasikilize watu kuwa unasoma hakuna faida, knowledge is powerHata hivyo kusoma ni kupoteza mda utakuj kuypat maisha uzeen hat uyafaidi.
Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
🤛🤛tuma salamu
Msaidie anataka msaadaUna kazi na gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyumba je,au ndio baba mwenye gari nyumba hunashida nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona ehh, basi nipe tano tena ya nguvuHakyamama jirani umeongea point sana [emoji2935][emoji2935]
20 year ni umri wa kujua vitu vichache tu kwahiyo siku Shanghai.adoado umri wa kuyafahamu vingi katika mengi unakuja.relax kijana