Umri gani sahihi kupata mtoto?

May be inafaid kwa kukupa kaz ya kukulipa 200000 kwa mwezi c nichezean akili huko

Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
Acha akili za kitoto nani amekuambia kusoma ni kwa kutafuta kuajiriwa, kusoma inakuongezea viujuzi chalii sasa huna hata knowledge ya AB halafu unakuja kumuajiri accountant hata mahesabu hujui hata financial statement hujui angalau mwangu uwe nao, sasa si unaibiwa utafirisika naongelea kama unataka kufika mbali, inaonekana wewe lengo lako ni la short term, ukiwa mfanya biashara unatakiwa uone mbali
 
Acha akili za kitoto nani amekuambia kusoma ni kwa kutafuta kuajiriwa, kusoma inakuongezea viujuzi chalii sasa huna hara knowledge ya AB halafu unakuja kumuajiri accountant hata mahesabu hujui si utafirisika naongelea kama unataka kufika mbali, inaonekana wewe lengo lako ni la short term, ukiwa mfanya biashara unatakiwa uone mbali
Ndo mana nikasema 20yr ni miaka ya kujua vitu vidogo tu.tena akija kujitafakari baada ya miaka 10-15 yr later...atajiona alikuwa ni bonge moja ya phaller.
 
Ndo mana nikasema 20yr ni miaka ya kujua vitu vidogo tu.tena akija kujitafakari baada ya miaka 10-15 yr later...atajiona alikuwa ni bonge moja ya phaller.
Kitoto hicho hata uandishi wake tu ni tabu, itakua nyumba na gari ni mali ya urithi
 
1.Once umejigundua upo tayari kuitwa baba na kuyakabili majukumu ya baba....

2.Once mwenza wako nae yupo tayari kuitwa mama na kuyakabili majukumu ya mama...

Haraka iwezekanavyo tafuteni mtoto,hakuna raha kama kupata mtoto ujanani mwako...

huwezi iona sasa hivi ila hapo kwenye hiyo 20's yako n muda mtamu sana wa bandika bandua...

Faida zake na raha yake utaiona ukifika 30's wakat hapo umebakisha task ya mwingine mmoja tu kufunga ukurasa...

wenzako kwenye 30's ndio wanamsakaranya First Born,mwe mwe mwe hata hainogi,raha ya mtoto mkue sawa bana...
 
Back
Top Bottom