Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Nina sababu za msingi, umri mzuri ni 32-37, 40 hapana.
Natalia nakuunga mkono kuwahiwahi kuoa sio ishu wala nini, lakini 40 hapana, angala kwenye 35 ivi aanze mchakato, 37 atulie ndani.Nimeolewa nikiwa na miaka 25.Wanawake wa siku hizi Noma sitaki wamsumbue kaka yangu .saa hizi anawanawake 5 .hajatulia juzi anataka kuoa mchina basi tu aendeleze mambo ya mademu.Hakuna kuoa
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40 mtu ndio maisha yake yametulia.Nimekosea au ?i'm scared to death mdogo wangu Asije akaharibu maisha yake .He is doing well na nimemshauri aendelee kudate wanawake tofauti ili awe na uamuzi mzuri .
Kwa kweli ndugu yangu umri wa kuoa ni kuanzia pale mtu anapobalehe lakini watoto wengi sikuhizi wanabalehe wakiwa wadogo na wako shuleni hivyo, inashauriwa kuwa umri wa kuoa ni kuanzia miaka 25 na kuendelea kwani akili sasa inakua na mtu anahitaji kuwa na mke lakini ni vyema sana mtu akivuka miaka 30 hivi hapop ndipo akili ya kikubwa kuhusu familia inaongezeka sana sasa hapo anaweza kuoa kwani amekua sana na uwezo wa kutunza familia unakuja.
Kwangu ningeonelea umshauri aanze kutafuta yule ambaye Mungu atampa naye ni vyema kipindi hicho akawa makini kwa kutafuta mke kwani mke mwema hutoka kwa Bwana Mungu awe mwenye maombi zaidi Mungu atampa chaguo lake, aachane na kuruka njia na kuangalia kwa macho ya kimwili atakuja juta baadaye kwani katika kipindi hicho ni muhimu akawa makini sana na uchaguzi mzuri sana kuhusu mke, ni hayo tu best mwaimbie kila kheri atapata aliye wake
Umri mzuri ni miaka 25-30, na kigezo kikubwa ni kama anakipato cha kuweza kuitunza familia yake sio anaoa wazazi ndio wanahudumia mke na mume na watoto. Sidhani kama mke anatafutwa kwa kujaribu jaribu mahusiano na wanawake tofautitofauti. Miaka 40 atakua amechelewa sana let say amezaa akiwa na 45 itakuaje maana sio lazima ukioa tu unapata mtoto wengine haitokei hivyo. Mwambie zinaa mbaya na ni dhambi amuombe Mungu apate mke mwema amani ktkt ndoa mara zote ni neema ya Mungu tu. Wengine wameoana wakubwa sana lkn no peace , na wengine wameoana mapema wana peace. So marriege yenye peace ni kumuomba Mungu tu haina formula.
Kwa kuongezea katika hili ni kwamba umri mzuri kwa mwanaume ni kama ulivyotajwa hapo juu ambao kibaiolojia ndio productive period kwa mwanaume na watoto wanaopatikana katika umri huo obviously wanakuwa na uwezo mzuri kiakili..more than that kwa uzao wa kwanza huwa ni majanga matupu
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40 mtu ndio maisha yake yametulia.Nimekosea au ?i'm scared to death mdogo wangu Asije akaharibu maisha yake .He is doing well na nimemshauri aendelee kudate wanawake tofauti ili awe na uamuzi mzuri .